spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 341
- 320
kama aliweza kusafiri hadi SA kuipata hiyo elimu.wewe kusafiri tu kuja Dar kuipata hiyo elimu unaona shida na training yenyewe tena bado unaipata for free.Great indeed. Sema mpango mzima inaonekana umelenga dsm dwellers
Tuliopo mikoani tutapitwa kila kitu