Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

ONTARIO

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
1,885
17,018
Salute bosses!!

Awali ya yote nitakua mnafiki sana kama sitatanguliza shukrani zangu za dhati kwa Jamii Forums. Bila ya hii platform (JF) tusingeweza kupata kushare taarifa kuhusu hii fursa ya uchumi uliopo ktk Forex. Yawezekana kwasasa ningekua nimejifungia ndani nina trade mimu binafsi kama wahindi wengi wanavyofanya na baadhi ya waTZ wenzetu.

Pia nitoe shukrani kwa members wote waliojitolea kunisaidia ktk kuhakikisha we are making this possible, maswala ya clearance, tax and legal consultation. Sitawataja kwa majina, lkn nashukuruni sana sana.

Miezi kadhaa iliyopita nilipost hapa hapa JF kuhusu fursa ambayo imefichwa kwetu (Watanzania) kwa muda mrefu sana, ilhali wenzetu wa nchi zingine wanatumia hii fursa kubadili uchumi wao, na kuweza kuendesha maisha yao bila stress kupitia faida zinayopatikana katika soko la kimataifa kwa kutrade foreign currencies, indices, commodities, precious metal nk nk.

Link: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Mimi kwa uzoefu niliopata katika hii biashara, Nikaona wazi kwamba hii kitu
inaweza kubadili maisha ya Watanzania wengi endapo wakipata nafasi ya kujifunza na kuielewa hii biashara kwa undani. Hivyo basi nikaona hkn sababu ya msingi ya kuendelea kuwaficha waTZ hukusu mambo ya FOREX wakati kuna watu wengine wengi tunanufaika na hii, kwahiyo nikaamua nitafute wenzangu ambao tutaweza kushirikiana kuisogeza forex kutoka nchi za wenzetu na kuifikisha Tanzania ili watu waitumie kama silaha ya kupambana na upungufu wa ajira pamoja na umaskini.

Namshukuru Mungu safari ya kukamilisha mpango huu wote ulikua mrefu sana, wenye milolongo mingi sana, lkn mwisho wa siku hakujawahi kutokea mkate mgumu mbele ya chai. Naweza kusema sasa tupo tayari kuianza hii safari ya ushindi na mafanikio.

Ktk uzi uliopita nilitoa special offer kwa watu 300 wa kwanza kwamba wataingia ktk programme yetu bureee kbs, na kiuhalisia kila mtu anapata quality training and mentorship sawa na mtu ambaye atalipi gharama. I am still keeping the promise, hakijabadilika kitu. Nina uhakika asilimia 100, matunda na matokeo chanya ya hawa watakaopata offer kutawafanya watu wengine wote wawe willing kulipa ada yoyote tutakaiyoitangaza.(Kama tunalipia watoto wetu $700 kwajili ya kusoma kindergarten, mtu atashindwaje kulipia programme itakayomuwezesha kutengeneza $100+ kwa siku?)

Sasa utaratibu utakua kama ifuatavyo

●Tutalaunch hii programme Jumamosi (09/09/2017), moja kwa moja kutoka ofisini kwetu - Jangid Plaza. Ofisi ipo Oysterbay (inatazamana na Oysterbay Protea hotel), ni maeneo ya karibu Kanisa la St. Peters, makao makuu ya Usalama wa Taifa, Dar free market. Kwa watakaotumia public transport, hiki kituo kinaitwa Mbuyuni. Ni kama nusu kilomita ukiwa Morocco, na around 1 kilometres from french embassy km unatokea daraja la salenda.
IMG-20170906-WA0006.jpeg

Office ipo 2nd floor, No. 211.
543fb1084c0e369713efef979cfe39f7.jpg

●Kwa watakaobahatika kuwa na vigezo, basi tutaanza nao Jumatatu (11/09/2017) hadi ijumaa (15/09/2017).

●Kutakua na sessions 2 kwa siku (morning and evening session). Session 1 itakua na masaa mawili hadi matatu. Na training itakua inafanyika kwa wiki nzima kuanzia J3 hadi Ijumaa. Tofauti na sehemu nyingi sana SA, ambapo training inafanyika siku 2 tu, tena weekend, hivyo wanafunzi hawapati quality knowledge and technical skill.

●Ukiingia ktk hii programme, kutakua na free mentorship kwa miezi 6. Sote tutatrade pa1 under guidance ya mentors na coaches, we make money or lose money together. Kwasasa tutatumia WhatsApp kuleta maximum interaction na mentors, wakati tukisubiri App yetu.

●To be honest, knowledge is always very expensive, sehemu yoyote duniani. Mimi siwezi kusema gharama niliyotumia kupata hii knowledge ya forex ambayo leo naona matunda yake, ni pesa ndefu sana nilitumia, kuanzia kusafiri kwenda SA, gharama za accommodation nikiwa huko, gharama za training fees nk. The cheapest training in SA should cost you around ZAR 4000 (680,000 TZS) tena programme ya siku 2 tu.

Mpk hapa nilipofikia, tyr nimeshatumia gharama nyingu sana sana na Ili kuhakikisha office inarun bila mimi kutoa any extra money from my pocket, kutakua na registration fees. Siku ya kulaunch inabidi kila mtu apewe registration form, ambayo itakua na taarifa zote ili uweze kuwa admitted kwenye institution yetu. Na hii form inabidi ilipiwe 65,000 TZS (Tax inclusively) hiu ni pesa ya kumaintain office, kulipa wafanyakazi watakaotuhufumia, kulipa kodi, na mambo madogo madogo - kwenye forex hiki ni kiasi kdg sana sana, but we want you to be committed to the programme (kitu ukikilipia hata buku, at least unakua na uchungu na morali nacho, tofautu na kitu ambacho ni 100% free). Maelezo mengine yote yatatolewa kwenye launch day.

●Tukiwa darasani Tutatoa guidance yote kuanzia kutumia trading platform ya MT4, kufungua live account, kudeposit pesa ktk account yako, kuwithdraw pesa, tutatoa basic introduction to forex pamoja na advanced knowledge about forex, technical and fundamental analysis pia zaidi ya yote tutafanya live trading kwa pamoja ili kusudi kila mtu aone uhalisia wa soko.

●Hizi nafasi 300 si sandakalawe ndugu zangy, lazima mtu awe na vigezo maalumu tunavyovihutaji. Si vigezo vigumu sana, but ukiwa navyo basi forex kwako itakua mteremko ama tuseme kitonga. Hivi vigezo vitaambatanishwa kwenye admission forms.
 
Wazo la kwanza

Ili kutusaidia kujua idadi kamili ya watu walio na interest na watahudhuria kwenye launching ya Jumamosi basi naomba utume ujembe mfupi kupitia PM yangu ukisema Nipo interested na nitahudhuria launching kisha weka namba ya simu ili secretary akupe maelekezo yanayofata
 
Salute bosses!!

Awali ya yote nitakua mnafiki sana kama sitatanguliza shukrani zangu za dhati kwa Jamii Forums. Bila ya hii platform (JF) tusingeweza kupata kushare taarifa kuhusu hii fursa ya uchumi uliopo ktk Forex. Yawezekana kwasasa ningekua nimejifungia ndani nina trade mimu binafsi kama wahindi wengi wanavyofanya na baadhi ya waTZ wenzetu.

Shukrani sana sana kwa team nzima ya JF, kuanzia directors wake kina Mello na Mike, executive staff kina Ashadii na kila mtu kwa kuhakikisha tunapata hii huduma wakati wote tunapoihitaji. We can't be more thankful than this, we can't thank you guys enough. Shukrani sana.

Pia nitoe shukrani kwa members wote waliojitolea kunisaidia ktk kuhakikisha we are making this possible, maswala ya clearance, tax and legal consultation. Sitawataja kwa majina, lkn nashukuruni sana sana.

Miezi kadhaa iliyopita nilipost hapa hapa JF kuhusu fursa ambayo imefichwa kwetu (Watanzania) kwa muda mrefu sana, ilhali wenzetu wa nchi zingine wanatumia hii fursa kubadili uchumi wao, na kuweza kuendesha maisha yao bila stress kupitia faida zinayopatikana katika soko la kimataifa kwa kutrade foreign currencies, indices, commodities, precious metal nk nk.

Link: Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Mimi kwa uzoefu niliopata katika hii biashara, Nikaona wazi kwamba hii kitu
inaweza kubadili maisha ya Watanzania wengi endapo wakipata nafasi ya kujifunza na kuielewa hii biashara kwa undani. Hivyo basi nikaona hkn sababu ya msingi ya kuendelea kuwaficha waTZ hukusu mambo ya FOREX wakati kuna watu wengine wengi tunanufaika na hii, kwahiyo nikaamua nitafute wenzangu ambao tutaweza kushirikiana kuisogeza forex kutoka nchi za wenzetu na kuifikisha Tanzania ili watu waitumie kama silaha ya kupambana na upungufu wa ajira pamoja na umaskini.

Namshukuru Mungu safari ya kukamilisha mpango huu wote ulikua mrefu sana, wenye milolongo mingi sana, lkn mwisho wa siku hakujawahi kutokea mkate mgumu mbele ya chai. Naweza kusema sasa tupo tayari kuianza hii safari ya ushindi na mafanikio.

Ktk uzi uliopita nilitoa special offer kwa watu 300 wa kwanza kwamba wataingia ktk programme yetu bureee kbs, na kiuhalisia kila mtu anapata quality training and mentorship sawa na mtu ambaye atalipi gharama. I am still keeping the promise, hakijabadilika kitu. Nina uhakika asilimia 100, matunda na matokeo chanya ya hawa watakaopata offer kutawafanya watu wengine wote wawe willing kulipa ada yoyote tutakaiyoitangaza.(Kama tunalipia watoto wetu $700 kwajili ya kusoma kindergarten, mtu atashindwaje kulipia programme itakayomuwezesha kutengeneza $100+ kwa siku?)

Sasa utaratibu utakua kama ifuatavyo

●Tutalaunch hii programme Jumamosi (09/09/2017), moja kwa moja kutoka ofisini kwetu - Jangid Plaza. Ofisi ipo Oysterbay (inatazamana na Oysterbay Protea hotel), ni maeneo ya karibu Kanisa la St. Peters, makao makuu ya Usalama wa Taifa, Dar free market. Kwa watakaotumia public transport, hiki kituo kinaitwa Mbuyuni. Ni kama nusu kilomita ukiwa Morocco, na around 1 kilometres from french embassy km unatokea daraja la salenda.View attachment 582423
Office ipo 2nd floor, No. 211.
543fb1084c0e369713efef979cfe39f7.jpg

●Kwa watakaobahatika kuwa na vigezo, basi tutaanza nao Jumatatu (11/09/2017) hadi ijumaa (15/09/2017).

●Kutakua na sessions 2 kwa siku (morning and evening session). Session 1 itakua na masaa mawili hadi matatu. Na training itakua inafanyika kwa wiki nzima kuanzia J3 hadi Ijumaa. Tofauti na sehemu nyingi sana SA, ambapo training inafanyika siku 2 tu, tena weekend, hivyo wanafunzi hawapati quality knowledge and technical skill.

●Ukiingia ktk hii programme, kutakua na free mentorship kwa miezi 6. Sote tutatrade pa1 under guidance ya mentors na coaches, we make money or lose money together. Kwasasa tutatumia WhatsApp kuleta maximum interaction na mentors, wakati tukisubiri App yetu.

●To be honest, knowledge is always very expensive, sehemu yoyote duniani. Mimi siwezi kusema gharama niliyotumia kupata hii knowledge ya forex ambayo leo naona matunda yake, ni pesa ndefu sana nilitumia, kuanzia kusafiri kwenda SA, gharama za accommodation nikiwa huko, gharama za training fees nk. The cheapest training in SA should cost you around ZAR 4000 (680,000 TZS) tena programme ya siku 2 tu.

Mpk hapa nilipofikia, tyr nimeshatumia gharama nyingu sana sana na Ili kuhakikisha office inarun bila mimi kutoa any extra money from my pocket, kutakua na registration fees. Siku ya kulaunch inabidi kila mtu apewe registration form, ambayo itakua na taarifa zote ili uweze kuwa admitted kwenye institution yetu. Na hii form inabidi ilipiwe 65,000 TZS (Tax inclusively) hiu ni pesa ya kumaintain office, kulipa wafanyakazi watakaotuhufumia, kulipa kodi, na mambo madogo madogo - kwenye forex hiki ni kiasi kdg sana sana, but we want you to be committed to the programme (kitu ukikilipia hata buku, at least unakua na uchungu na morali nacho, tofautu na kitu ambacho ni 100% free). Maelezo mengine yote yatatolewa kwenye launch day.

●Tukiwa darasani Tutatoa guidance yote kuanzia kutumia trading platform ya MT4, kufungua live account, kudeposit pesa ktk account yako, kuwithdraw pesa, tutatoa basic introduction to forex pamoja na advanced knowledge about forex, technical and fundamental analysis pia zaidi ya yote tutafanya live trading kwa pamoja ili kusudi kila mtu aone uhalisia wa soko.

●Hizi nafasi 300 si sandakalawe ndugu zangy, lazima mtu awe na vigezo maalumu tunavyovihutaji. Si vigezo vigumu sana, but ukiwa navyo basi forex kwako itakua mteremko ama tuseme kitonga. Hivi vigezo vitaambatanishwa kwenye admission forms.

Hongera sana mkuu
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom