Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,406
- 121,090
Wanabodi,
Nimepokea habari za kusikitisha na kuhuzunisha, Brigedia Jenerali Kotta, amefariki dunia kwa ghafla jana usiku, nyumbani kwake, Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Nitawaletea taarifa zaidi kuhusu msiba huu mkubwa.
Brigedier Kotta, alikuwa ni mmoja wa Maofisa wa mwanzo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ walio commision toka chuo cha Kijeshi cha Sundust, kilichopo nchini Uingereza miaka ya 60's na ni mmoja wa Makamanda wa Jeshi la Tanzania, walioongoza Vita vya Kagera akiongoza moja ya brigedi muhimu za JWTZ.
Baada ya vita, ni miongozi vya askari wa JWTZ waliotunukiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, nishani za Ushajaa, Nishani ya Vita vya Kagera, Nishani ya Utumishi uliotukuka na Nishani ya Utumishi wa Muda Mrefu na Tabia Njema. Amelitumikia jeshi maisha yake yote mpaka alipostaafu rasmi kwa cheo cha Brigedia Generali. Kwa lugha ya wenzetu "One Star General"
RIP Brigadier General Kotta.

Up date:
Mazishi ni Ijumaa.
its with sadness we announce the sudden death of Brig Gen.Stephen William Kotta Sr. rtd, which occured on Monday 6th of December 2010.
Father to Steve William Kotta Jr, Doctor Major Yves Ulyses Kotta, Genevieve Therese- Marie Kasanga and Faraja Gloria Nyalandu
Father in Law to Isaack Wilfred Kasanga, Hon. Lazaro Samuel Nyalandu, Rhoda Memba Kotta and Charlotte Rukia Kotta
Granddad to Leroy Kotta, Steve Kotta-III Lorna Margaret Kotta, Clarissa Naomi Kasanga, Joshua Nathan Kasanga, Sarah Divine Nyalandu and Christopher Aman Nyalandu
Funeral arrangements are being held at his residence in
Kunduchi Mtongani and burial will be on Friday 10th of Dec
May the Lord rest in piece the soul of Brig Gen Kotta
Amen!
Kwa hisani ya blog ya U-Turn at www.u-turn.co.tz