Wanabodi,
Nimepokea habari za kusikitisha na kuhuzunisha, Brigedia Jenerali Kotta, amefariki dunia kwa ghafla jana usiku, nyumbani kwake, Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Nitawaletea taarifa zaidi kuhusu msiba huu mkubwa.
Brigedier Kotta, alikuwa ni mmoja wa Maofisa wa mwanzo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ walio commision toka chuo cha Kijeshi cha Sundust, kilichopo nchini Uingereza miaka ya 60's na ni mmoja wa Makamanda wa Jeshi la Tanzania, walioongoza Vita vya Kagera akiongoza moja ya brigedi muhimu za JWTZ.
Baada ya vita, ni miongozi vya askari wa JWTZ waliotunukiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, nishani za Ushajaa, Nishani ya Vita vya Kagera, Nishani ya Utumishi uliotukuka na Nishani ya Utumishi wa Muda Mrefu na Tabia Njema. Amelitumikia jeshi maisha yake yote mpaka alipostaafu rasmi kwa cheo cha Brigedia Generali. Kwa lugha ya wenzetu "One Star General"
RIP Brigadier General Kotta.
Ni siku nyingi zimepita, ila General Kotta alikuwa mtemi sana katika mambo ya artillery. Ni karibu miaka mitano iepita tangu afariki ila bado namkumbuka sana hasa pale alipokaimu nafasi ya Brigade Commander wa Brigade ya Magharibi baada ya Brigadier Yusuf Himid kupata mshtuko wa moyo uliotokana na mashamabulizi ya Amini kule Kagera. Rest in peach Commander.
Kwani Kafariki Lini? Ni Macho Yangu au? Mbona Watu Mnapenda Sana Kuwachanganya Watu? Mleta Uzi Kasema Leo Mwenzetu Unatuambia Miaka Mitano Iliyopita. Jamani Hebu Jifunzeni Kuwa Na Adabu Kwa Mambo Sensitive Kama Haya Na Ni Kheri Mtu Umalize Kwanza Kunywa Gongo Yako au Kuvuta Bangi Zako Na Akili Zikirudi Sawasawa Ndipo U Log In Humu. Mnatuboa!
Chief, mbona huu msiba ni wa siku nyingi?...
Mmmmmmmmh! Basi Na Mimi NIMEPEPESA Na KUTIKISA Naombeni Radhi.
Kwani Kafariki Lini? Ni Macho Yangu au? Mbona Watu Mnapenda Sana Kuwachanganya Watu? Mleta Uzi Kasema Leo Mwenzetu Unatuambia Miaka Mitano Iliyopita. Jamani Hebu Jifunzeni Kuwa Na Adabu Kwa Mambo Sensitive Kama Haya Na Ni Kheri Mtu Umalize Kwanza Kunywa Gongo Yako au Kuvuta Bangi Zako Na Akili Zikirudi Sawasawa Ndipo U Log In Humu. Mnatuboa!
Huoni kuwa post yangu nimeanza kuwa ni siku nyingi zimepita; ukipitia posts zangu za nyuma hutakosa post yangu wakati anafariki. Hapa nilikuwa namkumbuka tu.Kwani Kafariki Lini? Ni Macho Yangu au? Mbona Watu Mnapenda Sana Kuwachanganya Watu? Mleta Uzi Kasema Leo Mwenzetu Unatuambia Miaka Mitano Iliyopita. Jamani Hebu Jifunzeni Kuwa Na Adabu Kwa Mambo Sensitive Kama Haya Na Ni Kheri Mtu Umalize Kwanza Kunywa Gongo Yako au Kuvuta Bangi Zako Na Akili Zikirudi Sawasawa Ndipo U Log In Humu. Mnatuboa!
Tatizo watu mnaongea bila kuangalia tarehe ya chapisho......... 2010. Alafu mnacomment kama ni kitu kipya....... shame on you.
Tatizo watu mnaongea bila kuangalia tarehe ya chapisho......... 2010. Alafu mnacomment kama ni kitu kipya....... shame on you.
Na Ndiyo Maana Nilipoona Nimekosea Baada Ya Kujulishwa Na Member Mmoja Upesi Na Haraka Nikaomba Radhi. Na Wewe Pia Ulitakiwa Kabla Ya Kutuma UPOPOMA Wako Huu Ungeipitia Ile Post Yangu Ujiridhishe Kwanza Ila Umeonyesha UPOPOMA Wako ULIOTUKUKA!
Huoni kuwa post yangu nimeanza kuwa ni siku nyingi zimepita; ukipitia posts zangu za nyuma hutakosa post yangu wakati anafariki. Hapa nilikuwa namkumbuka tu.
Kwani Kafariki Lini? Ni Macho Yangu au? Mbona Watu Mnapenda Sana Kuwachanganya Watu? Mleta Uzi Kasema Leo Mwenzetu Unatuambia Miaka Mitano Iliyopita. Jamani Hebu Jifunzeni Kuwa Na Adabu Kwa Mambo Sensitive Kama Haya Na Ni Kheri Mtu Umalize Kwanza Kunywa Gongo Yako au Kuvuta Bangi Zako Na Akili Zikirudi Sawasawa Ndipo U Log In Humu. Mnatuboa!
Unadhani huyo jamaa alistahili jibu hili kweli?? Badilika kijana kuna watu wazima humu!
Nadhani Lipo Unalolitafuta Kwangu Kwani Nimeshafanya Clarification Ya Kutosha Juu Ya Hili Na Hadi Kuomba Radhi Sasa Nakushangaa Unavyojinyegenyisha!