GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,356
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.
Screenshot_20250712-215732_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Aibu kiasi kwamba WANASHINDWA mtambulisha Kwa Cheo chake .

Pumbavu kabisa Polisi Tanzania.
 
Yaani mtu ambaye anajulikana na kila mtu, anuani ya anapoishi inajulikana na ofisi anayofanyia kazi inafahamika na kila mtu, inakuwaje unamvizia airport akisafiri kihalali na kumkamata?

Kwanini jeshi la polisi hapo kabla hawakutoa taarifa ya kumtaka afike polisi kwa kuwa ana tuhuma za kujibu?

Jeshi letu la polisi mbali na kukosa weredi tangu kuwepo kwake, kwa sasa linaonekana kama genge la kutengeneza maigizo ya sinema.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas sasa umejirasimisha rasmi kuwa wewe ni msemaji rasmi wa jeshi la polisi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.View attachment 3403606

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe wewe ni shoga, unafurahia mwanamke kunyanyaswa, uchama wako unakusaidia nn?
 
Huna mke!?,huna mtoto !?,huna hobby!?,huna marafiki!?,huna AKILI.., wewe unachojua ni UCHAWA TU. Una faida gani Sasa kwa jamii iliyojuzunguka!?,wakati mwingine ona aibu hata uwe mchangiaji tu. Wewe masaa 24 ni kuanzisha thread za UCHAWA tu.
Kwa hiyo mnataka mkivunja sheria muachwe na kuchekewa tu?
 
Back
Top Bottom