breaking news....

Hahahaha. . .Loya achana na lile bepari. . .halina zaidi ya chokochoko. Ila we kama unataka nikutafutie mwalimu wako na wewe. . . . .
heheh naelewa aisee! reading your recent posts, I can read you' through' you'. si unajua lawyer hakosei spelling?

Just happy for you everyday and always.
 
Halafu wewe ndo nilikuwa nakutafuta, njoo una nafasi uvunguni mwa moyo wangu

Fellow tablet aspirin mpaka mala ya mwisho kuonana nae kumbukumbu inaniambia anaondoka na kilo 2 ya ugali na kabeji tatu zillochanganywa na mifupa ya digidigi. Hapo ni brekfast tu
Jiandae mama, kumlea fellow tablet ni zaidi ya jihadi
 
Habari tulizozipata sasa hivi kwenye chumba chetu cha habari zinasema jana usiku kwenye mkesha wa muungano kapos zifuatazo zili organize come together ili wabadilishane mawazo na kufahamiana kwa ukaribu.Kutokana na kukolea kinywaji ( hasa jak daniel) ikaanza kutokea sintofahamu ya nani belongs to whom,matokeo yake watu wakaanza kubusiana kiholela na ngumi kufumuka.
Anyways to put the story short kapo zifuatazo jana zimeachana rasmi:
rejao/canta (canta karudi kwao kwa mzee mtambuzi)
nitty/SL (SL angalau kaambulia mimba)
michelle/HC (hawa walishaachana kabla jana lilikuwa hitimisho tu)
TF/Husninyo (it was inevitable hata kama sio party)
Aspirin/kongosho( hata hivyo konnie alishaanza kumdharau Aspirin kisa kaishiwa)
st ivuga/mwali (too sad,mwali mikono juu busy wailing,ivuga kaonekana mchana huu mlimani city na ninliyu...)
Taarifa za kiintelijensia zinasema mchana huu ba'nchuchu kaonekana kwa kwa babu DC akitafuta msaada wa kisaikolojia ,i don't know kimemkuta nini,ila ana bendeji kubwa jicho la kushoto.
Ya kiwanda cha usagaji nafaka ltd chichemi,ni makubwa ingawa naye alikuwepo.

khaaaa nilijua burekini nyuzi ya babu seya na wanae kumbe ya kina rejao..
Bishanga bwanaaa...
 
Last edited by a moderator:
Mwali usiwasikilize hao wanataka kutuharibia mapenzi yetu motomoto unajua nilipokuwa kwani nilikuaga
 
Last edited by a moderator:
Mwali usiwasikilize hao wanataka kutuharibia mapenzi yetu motomoto unajua nilipokuwa kwani nilikuaga
No, you didn't! Mi hata sijui uko wapi sasa hivi
Ulipoenda safari ya miezi tisa wala hukuniaga mimi
ndio utaniaga ukienda shopping millimani city kweli?
 
aisee nilikuwa nakutafuta sana nataka umshushe jamaa mmoja hizi busha ..anajifanya yeye kidume sana najua utanifanyia discount kubwa

Tena kipindi hiki nina hasira za ajabu, umeomba busha tu lakini jamaa nampa na bonus ya kumtoa jipu la kwapa. Nyambaaf zake, leta jina lake haraka sana nimalizie hasira zangu kwake.
 
Tena kipindi hiki nina hasira za ajabu, umeomba busha tu lakini jamaa nampa na bonus ya kumtoa jipu la kwapa. Nyambaaf zake, leta jina lake haraka sana nimalizie hasira zangu kwake.

Hahahaha. Angalia zcje zkakurudia wewe klorokwini
 
Last edited by a moderator:
Hivi location ya Bishanga kwenye profile yake bado inasoma Unga Ltd? Anayetumia PC anijuze plz..
 
Last edited by a moderator:
Tuweke dau. Mi natabiri bayern munich watamtoa maurinyo kwenye kombe la dunia leo. Hii inamaanisha fainali itakuwa bayern munich vs tp mazembe.
 
Tuweke dau. Mi natabiri bayern munich watamtoa maurinyo kwenye kombe la dunia leo. Hii inamaanisha fainali itakuwa bayern munich vs tp mazembe.
Shkamoo babu! Nimekumissije babu yangu... :hug:
 
Tuweke dau. Mi natabiri bayern munich watamtoa maurinyo kwenye kombe la dunia leo. Hii inamaanisha fainali itakuwa bayern munich vs tp mazembe.
Waswahili bana! mimi niliwaaambia fello tablet kapata viza ya ukraine wao wakavumisha eti amekamatwa ana kesi ya kuiba magunia ya korosho mpaka wa burundi.
 
Back
Top Bottom