Scientifically proved, pia unaongeza libidoKumbe ugoro unafukuza malaria?
wanawake wa siku hizi! kloro anayajua haya kwamba penzi la SL ni subdividable?klorokwini ni nyumba ndogo! Afu inakuhuuuu jamani? Pilipili usioila yakuwashia nini Bishanga?
hivi yuko wapi siku hizi?
Sasa ukiweka hazarani nitakuja kumwagiwa tindikali honey. Think! chwitiledi thinkklorokwini ni nyumba ndogo! Afu inakuhuuuu jamani? Pilipili usioila yakuwashia nini Bishanga?
Sasa ndio akaona aje achafue majina ya wenzie jf lol.
Mie mzima swahiba wewe je?
wacha we! tusiendelee kumwaga kuku kwenye mchele mwingi,tuishie hapa kamanda.
Nani wa kumbana zaidi yangu?unreachable! au bado kabanwa masaki?
a bridge too far? nayo huwa inafikiwa tu.
Kesi + Lawyer = RushwaTayari nimepokea kama PM nane za rushwa ili tusiendelee na hii sredi. Nipokee rushwa mkuu?
Mkuu equation haijabalance apo rushwa mainaz kamshahara ambako kwa miezi miwili napata client mmoja tu tena analeta kesi ya kudaiwa ili nimtetee asilipe deni. Nafunga ofisi karibuniKesi + Lawyer = Rushwa
Dah! skujua kumbe mzazi unatema ung'eng'e kuliko anodi shwazinega.when the going gets tough,the tough get going....
i am tough Lizzy....yes i am!