breaking news....

Mie nilidhani wapenda mahaba ya pwani, shurti umwamkie mwanamme.

Haya, mambo Asprin, hata kunywa hii supu ya limbwa.

Nimelitengeneza kwa usafi wote.

Ukiruka sama soti mbona huwa nafika everest.
Mi wa bara bana. Ugali kwa mtindi ndo menu yangu. Hivi kumbe ulinisabahi eh? Poa Kongosho wangu. Hakikisha umebakisha limbwata la kesho. Najiandaa kwa samasoti nawe jiandae kukwea.
 
Oh no! Nimechelewa kuziona breaking news za siku ya muungano.Kumbe wenzetu weshaungana? I am talking of the broken news mana leo siku ya pili baada ya miaka 48 ya muungano...!
 
Hata mimi nikimnyemelea Lizzy nakuwa nashangaa ung'eng'e unatokea wapi yaani hafla tu nakuwa najiona natema dikshineri vibaya sana wakati kiuhalisia shule nilifkuzwa la saba baada ya kumwekea kioo mwalim wa hesabati? huyu Lizzy lazima atakuwa na DNA ya shekoslovakia au zimbabwe
acha kutaja jina la Lizzy aisee,kuna watu humu presha zao sio nzuri,utawaua bure!
 
niko salama mkuu.
kesho vipi utamsindikiza kliniki mwananyamala?
Unataka uje unisindikize wewe? Afu uache kufuatilia mambo ya watu manake hayakuhusu!


Mbona mie sikuulizi kama utamsindikiza yule mke wa jirani yako uliyefumaniwa nae majuzi ukasusiwa?
 
Back
Top Bottom