breaking news.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

breaking news....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bishanga, Apr 26, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Habari tulizozipata sasa hivi kwenye chumba chetu cha habari zinasema jana usiku kwenye mkesha wa muungano kapos zifuatazo zili organize come together ili wabadilishane mawazo na kufahamiana kwa ukaribu.Kutokana na kukolea kinywaji ( hasa jak daniel) ikaanza kutokea sintofahamu ya nani belongs to whom,matokeo yake watu wakaanza kubusiana kiholela na ngumi kufumuka.
  Anyways to put the story short kapo zifuatazo jana zimeachana rasmi:
  rejao/canta (canta karudi kwao kwa mzee mtambuzi)
  nitty/SL (SL angalau kaambulia mimba)
  michelle/HC (hawa walishaachana kabla jana lilikuwa hitimisho tu)
  TF/Husninyo (it was inevitable hata kama sio party)
  Aspirin/kongosho( hata hivyo konnie alishaanza kumdharau Aspirin kisa kaishiwa)
  st ivuga/mwali (too sad,mwali mikono juu busy wailing,ivuga kaonekana mchana huu mlimani city na ninliyu...)
  Taarifa za kiintelijensia zinasema mchana huu ba'nchuchu kaonekana kwa kwa babu DC akitafuta msaada wa kisaikolojia ,i don't know kimemkuta nini,ila ana bendeji kubwa jicho la kushoto.
  Ya kiwanda cha usagaji nafaka ltd chichemi,ni makubwa ingawa naye alikuwepo.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  We bepari, unataka kunivunjia ndoa au?
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa yako.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We Byshanga embu acha kuchokonoa yasokuhusu. . .
  Hata nikiachika siji kwako ujue!!
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hhahahahaha Aksante Muhdin Issa Michuzi
  Wataadharishe pombe ni mbaya, wanywe KONYAGI tu!
   
 6. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Mbona zako hujasema umetaliki na kutalikiwa mara ngapi B?
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Pia. Kuna na mdada mmoja mashuhuri memba wa JF (jina tunalo), ameonekana juu ya kaburi la kanumba mkononi akiwa kabeba picha ya rejao.
   
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  ivunjike mara mbili?
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hata camilla parker bowles alikuwa akimwambia maneno hayo prinsi chaz,see where she ended!
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  sindo watapigana visu kabisa,aspirin nasikia ana black belt.
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  niliwa host kwenye li apartment langu masaki, mimi nilikuwa mtazamaji tu (actually two of them/majina kapuni) waliishia bedrum kwangu.
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  halaf wewee..!
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi kwi......nshamjua,uuuuuuuuuuwwwiiiii chachachacha kumbeeeeeeeeee!
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Utasutwa wewe!
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  bishanga nimefanya nini? kuripoti nilichoshuhudia?
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Muongo mkubwa, toka afumaniwe na mke wa mtu akili zimemruka!
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  si kweli? unasutwa ukisema uongo,kha!
   
 18. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  ulikuwepo?
   
 19. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kunani hapa?
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mbona husemi hao walioishia bedroom ni wewe na naniliii?
   
Loading...