breaking news....

niliwa host kwenye li apartment langu masaki, mimi nilikuwa mtazamaji tu (actually two of them/majina kapuni) waliishia bedrum kwangu.
Bishanga Na sasa ndo unapoza mshuliko waliokushulikia hahahaaaaaaa.......
 
Last edited by a moderator:
hata camilla parker bowles alikuwa akimwambia maneno hayo prinsi chaz,see where she ended!

We unaona sie tunafanania nao? Kubali bana hali halisi. . .mmiliki yupo. . .na hana mpango wa kuachia ngazi anytime soon.
 
heheh halaf kachkua ile picha ya rejao alopiga skukuu, Rejao kalamba adidas ya kijani na singlendi rangi ya udongo
wacha we! tusiendelee kumwaga kuku kwenye mchele mwingi,tuishie hapa kamanda.
 
Back
Top Bottom