breaking news....

Unataka uje unisindikize wewe? Afu uache kufuatilia mambo ya watu manake hayakuhusu!


Mbona mie sikuulizi kama utamsindikiza yule mke wa jirani yako uliyefumaniwa nae majuzi ukasusiwa?
we nae,toka umempata huyo mhaya wako nitts naona umechanganyikiwa,au shauri ya 'kalufundi ka kwetu'?
 
Chizenga mwache Rejao apumzike manake karibu atapata presha, baraza likivunjwa tunaweza kumkosa jf manake wizara yake haiponi!

swahiba unapenda mabreakn news! Hili linyuz lishaexpaya ila hautoki. Lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom