Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
- Thread starter
- #61
nakupata mkuu,ndoa kibao zimetikisika,maana kapo nyingi zilishiriki hilo tamasha ila majina kwa sababu za kiusalama (maana wengine ni viongozi wa kisiasa) nimeyatia kapuni.Ngoja nifanya mpango wa ku delete hii sredi kabla watu hawajaharibikiwa zaidi.Kwa mbali kuleeeee namwona nitonye hoi macho mekundu yuko na.....wanatoka chumbani kwangu.Tayari nimepokea kama PM nane za rushwa ili tusiendelee na hii sredi. Nipokee rushwa mkuu?