George11
New Member
- Apr 14, 2020
- 3
- 2
Season 1 ina episode 21 daah iNa Designated Survivor
nakatisha adi tamaa kudownload, ingawa natamani kuicheki.
Season 1 ina episode 21 daah iNa Designated Survivor
Hii haina ubishi. Pia ndiyo show ambayo kila character anaweza pata rating ya +99%. Yule mwanasheria wao hajawahi tokea.Wasaalam ndugu zangu,
Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama nyingine.
Basi iko ivii Kama hukuwai kuangalia breaking bad basi jua ktk maisha yako ya ungaliaji wa tamthilia(series) basi umekosa kitu cha msingi sana yani ni sawa na wali ukose chumvi hauwezi ukalika.
Kitika hii tamthilia utajifunza mengin ikiwemo,
>unaweza tumia elimu uliyonayo bila kutegemea msharaha ukabuni njia ya kukuingizia pesa km tulivyoona kwa mr white( Heisenberg aka the meth cooker of all time) japo yeye aliitumia kwa njia isiyo sahihi ila aliweza tumia elimu yake ya kemia kupika madawa ya kulevya(blue meth) na kumpa utajiri mkubwa sana unajua kwanini alijiita jina la Heisenberg??!!!...... Hivyo basi wasomi wa vyuo mnaweza tumia elimu mlizonazo mkabuni project mbalimbali za halali mkapata kipato safi.
>wanasheria sometimes wanaweza kuwasaidia waarifu kwa kuwapa ushauri ambao unaweza fanikisha uhalifu ufanyike bila mamlaka za ulinzi kujua km ilivyoonekana kwa bwana "better call saul"(mwanasheria mwenye akili na mipango kuwai kuonekana ivi karibuni).
Better call saul ni mastermind(planner) amenogesha sana breaking bad sometimes nahisi bila yeye mr white kuna baadhi ya mission angelifeli sana,uyu bwana hakuwai shindwa kesi yoyote mahakamani hata km utakutwa na hatia he can defend and clear your mess.
>Jesse Pinkman alikuwa ni mwanafunzi wa kemia wa Mr white kijana aliefukuzwa kwao kwa kutukutu wake lakini hakufeli maisha ya mtaa alipanda kwa kupika white meth na kuuza ili kuweza kuishi mtaa mpk siku alipokutana na mr white na kuongea nae na kupanga kuanza ushirikiano(kupika meth)........alifanikiwa kutemgeneza fedha nyingi sana mpk akaamua kununua nyumba ambayo wazazi wake walikuwa wanaishi kulipa km kisasi maana walimfukuza hapo awali.Funzo kupitia character ya bwana Jesse ni kuwa unaweza ukadrop out shule na ukatoboa ila kwa njia ya halali.......
Nb:nimejitahidi kuelezea juu juu ila maelezo yangu hayatoshi kuelezea hii movie maana ni moto mkali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna movie yake inaitwa breaking bad. Sijui kama ishatoka. Inazungumzia maisha ya Jessie baada ya pale. Pia ilitolewa show/series kwa ajili ya kuizungumzia BB! Inaitwa "Talking bad".Hata Gustavo ameifanya filamu kua bora zaidi,breaking kweli ni filamu kali haijawahi kutokea idea ya filamu kama ile iko poa na ipo kwenye uhalisia ila ilipoishia nilihisi kama inaweza kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Say what! Ni ya kawaida! Sema inavyoanza inahitaji akili nyingi kuielewa. Ila ukishaielewa tu unalewa.Haya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
Ninayo hii breaking bad s1-5 complete
Nikipata nafasi niianze
Mkuu sio inaitwa El Camino maana ndo movie inayomzungumzia Jesse Pinkman baada ya BB na imeshatoka mbonaKuna movie yake inaitwa breaking bad. Sijui kama ishatoka. Inazungumzia maisha ya Jessie baada ya pale. Pia ilitolewa show/series kwa ajili ya kuizungumzia BB! Inaitwa "Talking bad".
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap, nimecheki google ndiyo hiyo. Taarifa yangu haikuwa up to date.Mkuu sio inaitwa El Camino maana ndo movie inayomzungumzia Jesse Pinkman baada ya BB na imeshatoka mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha Breaking Bad na mambo ya kijinga aisee!Naunga mkono hoja japo sio asilimia zote Kuna 24, prison break ni Bora .zaidi ya breaking bad
Sent using Jamii Forums mobile app

Naam Mkuu uko sawa.Mkuu bb na sopranos zimetie zote ni 1.5 anafata GOT wa tatu