Chilojnr
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 308
- 1,354
Mara ya kwanza nimeidownload Breaking Bad, nikaangalia Season 1, tena kwa kuirukisha kidogo, nikaona mbovu mnoooo.
Nikaenda zangu Twitter kuzurura, cha ajabu kila mtu akawa anaisifia, nikajiona fala, nikasema hebu nitulie.
Mzee baba hii series kali mno. Nipo Season ya 5 now, ni hatari sana, inaelezea life kwa ujumla, ila acha, ni mzigo wa moto sana.

kazi akaishindwa akarudi kupika!!