Breaking bad series bora kwa muda wote

Breaking bad series bora kwa muda wote

Ukumbuke kuwa game of throne haikuwai kubeba tuzo kipind breaking bad bado ipo hewani.....tuzo zilibebwa baad ya breaking bad kuisha fuatilia......ila breaking bad ni machine hata ukiangalia breaking bad inarate kubwa sana kuliko game of throne.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin GOT ilitazamwa sana kuliko series yoyote, ili kuwa pirated sana kuliko series yoyote actually kila season yake ilikuwa inajvunjia rekodi ya season iliyopita ambayo nayo ilikuwa imevunja rekodi. GOT ndo ya kwnza na ina rating ya 6.4 kwa viewers
 
Kuna kitu kinaitwa Ozark ni one of the best na walishinda award walishindanishwa na game of thrones ila Ozark ikashinda ni series nzuri mno kidogo imefanana na breaking bad ila hii nahisi ni nzuri zaidi.my opinion maana nimeangalia zote
 
hii nilisikiaga ni nzuri ajabu nikasema ngoja niione 2015 kama sikosei dah nikakutana mambo ya porn live, ushoga na group sex dah nikaishia hapo hapo
Mbona hayo ni kidogo sana ukilinganisha na series nzima, hayafikii hata 0.1%
 
Haya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
Sasa hiyo epispde moja ndio inafanya series nzima kuwa mbaya? Au series zako ni zile zenye action mtu mmoja ansua watu 30?
 
Breaking bad is good.Lakini kwenye issues ya movies na series bana inategemea interest za MTU

Kuna watu hadi leo umwambii kitu kuhusu prison break !!

Kina wengine wanapenda ma action action tu watakwambi into the badlands
Wengine watakuambia the hundred
So hamna series bora kuliko zote ni perception yako na interest zako.

Mkuu na recommend angalia hizi
1.Dark ( hii Kali sana)
2. The umbrella academy ( bonhe LA series )
3.The crown
4.the last kingdom
5.peaky blinders (usiikose hii)
6.mindhunter
7.black mirror(science fiction )
8 na dare devil
Hafu rudi tena

Bonus: The witcher ( naona INA potential ya kufikia game of thrones)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasaalam ndugu zangu,

Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama nyingine.

Basi iko ivii Kama hukuwai kuangalia breaking bad basi jua ktk maisha yako ya ungaliaji wa tamthilia(series) basi umekosa kitu cha msingi sana yani ni sawa na wali ukose chumvi hauwezi ukalika.

Kitika hii tamthilia utajifunza mengin ikiwemo,

>unaweza tumia elimu uliyonayo bila kutegemea msharaha ukabuni njia ya kukuingizia pesa km tulivyoona kwa mr white( Heisenberg aka the meth cooker of all time) japo yeye aliitumia kwa njia isiyo sahihi ila aliweza tumia elimu yake ya kemia kupika madawa ya kulevya(blue meth) na kumpa utajiri mkubwa sana unajua kwanini alijiita jina la Heisenberg??!!!...... Hivyo basi wasomi wa vyuo mnaweza tumia elimu mlizonazo mkabuni project mbalimbali za halali mkapata kipato safi.

>wanasheria sometimes wanaweza kuwasaidia waarifu kwa kuwapa ushauri ambao unaweza fanikisha uhalifu ufanyike bila mamlaka za ulinzi kujua km ilivyoonekana kwa bwana "better call saul"(mwanasheria mwenye akili na mipango kuwai kuonekana ivi karibuni).
Better call saul ni mastermind(planner) amenogesha sana breaking bad sometimes nahisi bila yeye mr white kuna baadhi ya mission angelifeli sana,uyu bwana hakuwai shindwa kesi yoyote mahakamani hata km utakutwa na hatia he can defend and clear your mess.

>Jesse Pinkman alikuwa ni mwanafunzi wa kemia wa Mr white kijana aliefukuzwa kwao kwa kutukutu wake lakini hakufeli maisha ya mtaa alipanda kwa kupika white meth na kuuza ili kuweza kuishi mtaa mpk siku alipokutana na mr white na kuongea nae na kupanga kuanza ushirikiano(kupika meth)........alifanikiwa kutemgeneza fedha nyingi sana mpk akaamua kununua nyumba ambayo wazazi wake walikuwa wanaishi kulipa km kisasi maana walimfukuza hapo awali.Funzo kupitia character ya bwana Jesse ni kuwa unaweza ukadrop out shule na ukatoboa ila kwa njia ya halali.......



Nb:nimejitahidi kuelezea juu juu ila maelezo yangu hayatoshi kuelezea hii movie maana ni moto mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nnazo season zite full sjui why another year hii sjaangalia..
Nshakua addicted na intelligence series,hivi hii ni kali kweli mkuu nijifungie nayo weekend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
mkuu mbona unankata stim ya kuicheki ah ah ah dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mbona unankata stim ya kuicheki ah ah ah dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha. Hapana mkuu itafute tu ucheki. Ukifika hapo una forward. Kuna episod nyingine muhuni Jesse amenunua bonge la mziki. Karibu dk 5 watu wanacheza mziki ndani kwa jamaa.

Pamoja na changamoto hizo lakini ni series nzuri (ingawaje kwangu is not the best).
 
Kama mtu hajaangalia series zifuatazo basi hajafaidi series
1. Breaking bad
2. The wire
3. The sopranos
Sijaangalia zote bt nmefaidi sana series..
Sort as lost, the x files,the revolution,person unkwon,uje za intelligence hz blacklist,absentia, Blindspot, designated survivor,series zpo nyngi saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha. Hapana mkuu itafute tu ucheki. Ukifika hapo una forward. Kuna episod nyingine muhuni Jesse amenunua bonge la mziki. Karibu dk 5 watu wanacheza mziki ndani kwa jamaa.

Pamoja na changamoto hizo lakini ni series nzuri (ingawaje kwangu is not the best).
Haina noma mkuu..nta deal nayo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Breaking bad ni series kali sana isiyo na mbwembwe wala ngono. Ila storyline nzuri sana na inaakisi maisha ya kawaida, hakuna uongouongo na unnecessary drama.
Ila kwangu sio series bora ya wakati wote ingawaje top 5 haikosi

1. Fringe
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Lost
5. The 100
6. Revolution (ingawaje waliacha mapema)
7. Silicon valley
8. Startup
9. The crown
10. Narcos
11. Designated survivor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom