Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Shughuli ya kushusha mzigo ndio inaendelea kama kawaida. Hii COVID-19 imenifanya nimekuwa bingwa wa series.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi wa mkoani Shinyanga tunaipataje?
Hizo ulizozitaja hapo zipo kwenye list ya series bora za muda wote duniani au ni kwasabb wew umezionaSeries Kali ni Jumong. Hakuna mapenzi mule au Legend of the seeker mapenzi machache .
The long wait ya kiphilipino
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo download speed utasubiri sanaaaShughuli ya kushusha mzigo ndio inaendelea kama kawaida. Hii COVID-19 imenifanya nimekuwa bingwa wa series. View attachment 1424133
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ulizozitaja hapo zipo kwenye list ya series bora za muda wote duniani au ni kwasabb wew umeziona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo sisi wa Game of Thrones unatuambiaje.?
Maana hii ndio the greatest show ever made in the world.
Akili iliyotumika ni Einstein + Tesla + Davinci
Mkuu naona una seed vile vile.Shughuli ya kushusha mzigo ndio inaendelea kama kawaida. Hii COVID-19 imenifanya nimekuwa bingwa wa series. View attachment 1424133
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata connection nitonyeTunaipataje sasa tupe connection
Naomba link ya breaking badNimeanza ku download hii kitu. Nikimaliza The 100 nahamia humu
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
REVOLUTION Acha kabisaHalafu huwa yupo serious sana aliigiza vizuri sana kwenye series inaitwa revolution japo iliishia kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina haraka nazo, ninazo za kuangalia hadi wiki ijayo kama The 100 na Shots fired. Zitani keep busy.Kwa hiyo download speed utasubiri sanaaa
Ndio mkuu, tayari season one ishacheuwa.Mkuu naona una seed vile vile.
Kongole kwa ku care
Asante sana mkuuMkuu link hii hapa Privacy focused torrent search engine. Ila inakubidi uwe na BitTorrent kwa ajili ya kushushia. Enjoy.
Ahh nayoo ni moto..its more of politics and romance in D.C
Hakuna tv series kama breaking bad...itacukua mda mrefu sana kuishusha pale juu, kama g.o.t walichemka basi sioni ikishushwa hivi karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app