Breaking bad series bora kwa muda wote

Breaking bad series bora kwa muda wote

Wasaalam ndugu zangu,

Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama nyingine.

Basi iko ivii Kama hukuwai kuangalia breaking bad basi jua ktk maisha yako ya ungaliaji wa tamthilia(series) basi umekosa kitu cha msingi sana yani ni sawa na wali ukose chumvi hauwezi ukalika.

Kitika hii tamthilia utajifunza mengin ikiwemo,

>unaweza tumia elimu uliyonayo bila kutegemea msharaha ukabuni njia ya kukuingizia pesa km tulivyoona kwa mr white( Heisenberg aka the meth cooker of all time) japo yeye aliitumia kwa njia isiyo sahihi ila aliweza tumia elimu yake ya kemia kupika madawa ya kulevya(blue meth) na kumpa utajiri mkubwa sana unajua kwanini alijiita jina la Heisenberg??!!!...... Hivyo basi wasomi wa vyuo mnaweza tumia elimu mlizonazo mkabuni project mbalimbali za halali mkapata kipato safi.

>wanasheria sometimes wanaweza kuwasaidia waarifu kwa kuwapa ushauri ambao unaweza fanikisha uhalifu ufanyike bila mamlaka za ulinzi kujua km ilivyoonekana kwa bwana "better call saul"(mwanasheria mwenye akili na mipango kuwai kuonekana ivi karibuni).
Better call saul ni mastermind(planner) amenogesha sana breaking bad sometimes nahisi bila yeye mr white kuna baadhi ya mission angelifeli sana,uyu bwana hakuwai shindwa kesi yoyote mahakamani hata km utakutwa na hatia he can defend and clear your mess.

>Jesse Pinkman alikuwa ni mwanafunzi wa kemia wa Mr white kijana aliefukuzwa kwao kwa kutukutu wake lakini hakufeli maisha ya mtaa alipanda kwa kupika white meth na kuuza ili kuweza kuishi mtaa mpk siku alipokutana na mr white na kuongea nae na kupanga kuanza ushirikiano(kupika meth)........alifanikiwa kutemgeneza fedha nyingi sana mpk akaamua kununua nyumba ambayo wazazi wake walikuwa wanaishi kulipa km kisasi maana walimfukuza hapo awali.Funzo kupitia character ya bwana Jesse ni kuwa unaweza ukadrop out shule na ukatoboa ila kwa njia ya halali.......

Nb:nimejitahidi kuelezea juu juu ila maelezo yangu hayatoshi kuelezea hii movie maana ni moto mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja japo sio asilimia zote Kuna 24, prison break ni Bora .zaidi ya breaking bad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Breaking bad ni nzuri hasa chemustry ya jesse na mr white lakini kusema ukweli ile ni hype tu the best television series will always be game of thrones
 
Its the best series ever nilisikitika sana na kifo cha hank, he didn’t deserve to die

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Breaking Bad juu pale
Screenshot_20200419-164721~2.jpeg

Nimeanza ku download hii kitu. Nikimaliza The 100 nahamia humu

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom