Breaking bad series bora kwa muda wote

Breaking bad series bora kwa muda wote

Breaking bad ndio inaongoza alafu ile wamecheza uhalisia zaidi compared to Got
utamu wa filamu upo kwenye sure reel, GOT na Breaking Bad zilitoka wakati mmoja, katika kipindi hicho GoT ilikua inaongoza na Breaking Bad inafuatia.
 
Ushazoea mapanga ya wakorea huwezi elewa hii kitu.
Imdb na rotten tomato wameipa rate ya juu kuliko series zote zilizopata kutokea tangu mwana wa adamu alipoumbwa. Sembuse wewe mwalimu kashasha
 
Back
Top Bottom