Brazil kuna ubaguzi wa rangi?

Brazil kuna ubaguzi wa rangi?

navojua,argentina waliendesha kampeni ya kuua watu wote weusi
Hii inaweza ikawa kweli pia kama hawakuua wote itakuwa weusi walikimbia nchi zingine za America ya kusini kwani nchi nyingi za America ya kusini black ni wengi sana
 
Hawajaamua tu mbona Obama kachomoza mbele ya wamarekani? Naamini marekani kuna ubaguzi kuliko nchi yeyote hapa duniyani.
 
I love Argentina.
Mkuu hiyo haiwezi toa dosari Yao ya kufukuza na kuua watu weusi kimya kimya
Nchi nyingi kama Peru, Venezuela, Bolivia, Uruguay, Paraguay n.k Pamoja na visiwa vya carrebean weusi wamejaa ajabu ni Argentina tu , no existing of blackness struggle
 
Hawajaamua tu mbona Obama kachomoza mbele ya wamarekani? Naamini marekani kuna ubaguzi kuliko nchi yeyote hapa duniyani.
Mkuu imepita miaka mingi sana tangu biashara ya utumwa iishe, kama ilivyo USA, lazima kuna hatua wangepiga kwenye nyanja zote za kimaendeleo

Hakuna binadamu asiyetaka kuwa na mamlaka au uongozi
 
Mkuu hiyo haiwezi toa dosari Yao ya kufukuza na kuua watu weusi kimya kimya
Nchi nyingi kama Peru, Venezuela, Bolivia, Uruguay, Paraguay n.k Pamoja na visiwa vya carrebean weusi wamejaa ajabu ni Argentina tu , no existing of blackness struggle
Watu weusi kama waarabu tu...
wanafika kwa watu, badala ya kuchangamana nao na kuishi nao pamoja, wao wanaanza kelele za kutaka kutambuliwa na kupewa upendeleo maalum.
 
Teh Teh Teh huko acheni kabisa hizo stori sio ushabiki wa mpira. Kila nchi hutumia vyombo vyake vya habari na huwa kuna misingi ya uandishi wa habari. Kama Urusi imeandika uhusika wa Amerika, iko wapi habari ya Amerika inayopinga hili? Ikumbukwe pia Urusi ni taifa la zamani kuliko Amerika na Urusi imeisaidia Amerika katika kupata uhuru na katika vita vya dunia hawa walikuwa wamoja. Kwa hiyo kinachoendelea sasa hivi ni sera ya nje ya Amerika kutaka kuitawala dunia kimabavu. Amerika wao wanahitaji wafuasi sio mataifa washirika. Nani anapenda atawaliwe kimabavu? Urusi ina wafuasi wengi sana kuanzia nchi za NAM hadi nchi za kikomunisti na kijamaa.
Mkuu unaamini kuna nchi ya ki communist kwa Sasa, labda kama unatania

Hiyo NAM haipo kabisa, imebaki jina tu mkuu jaribu kufatilia

Russia hata majirani hawamtaki ila analazimisha ushawish huon juzi kalazimisha jimbo la Crimea kuwa upande wake kwa mtutu wa bunduki!

Nitajie nchi zingine ambazo Russia anaushawish nazo ukiacha Syria, North Korea na Iran

Cuba saiv kaona Russia anazingua tu ndo maana kaamua kurudisha uhusiano na America
Na kule Venezuela baada ya kufariki Hugo Chavez uhusiano haina nguvu tena
 
Hawajaamua tu mbona Obama kachomoza mbele ya wamarekani? Naamini marekani kuna ubaguzi kuliko nchi yeyote hapa duniyani.
Huijui India na watu wake, usingetoa hiyo comment, siku ukibahatika kwenda india au kufanya kazi kwa wahindi u'll suffer the consequences and y'll regret 4u'r comment.
 
Jana na juzi nimekuwa nikifatilia Habari za Rais aliyesimamishwa kazi dilma Rudolf, Hakika lile baraza la Senate sijaona mtu mweusi hata mmoja

Kitu kingine ni huyu interm present, Rais wa Muda ametangaza baraza Lake jipya la mawaziri ila bahat mbaya hakuna negro hata mmoja,
Mimi bnafs nilisikitika kiukweli, maana mimi nimeifahamu Brazil kupitia soka /football na timu Yao ya Taifa asilimia zaid ya 55 wanakuaga negros
Sasa kinachokufanya wasijumuishwe kwenye uongozi wa kisiasa nini au watu weus wa Brazil hawapo interested na politics?
Hii imekaaje wakuu
Ni Hali mbaya sana, mtu mweusi anabaguliwa kila mahali duniani. Hata huko Hali ipo hivo.
 
Ubaguzi upo Brazil kama ilivyo kila mahali. Brazil kama USA weusi wameaminishwa na kushinikizwa kufanya Sanaa na michezo tu ila sio siasa na uongozi. Weusi wanatawala michezo sababu wameelekezwa huko na wao wamekubali.

Miaka ya uwani Brazil ilipitishwa sheria ya kuomba weupe wazae na weusi ili kusaidia weusi walioonekana kutojiweza hasa kiakili ndiyo maana Leo unaona chotara wengi Brazil kuliko nchi nyingine yeyote. Pamoja na hilo Bado mtu mweusi Brazil hana thamani. Kuna umasikini wa ajabu kwenye jamii ya weusi Brazil wakati weupe wanaendelea kuneemeka na kula mema ya nchi.

Kwenye soka kuna kasumba kwamba weusi hasa waliotoka familia za masikini ndiyo hufanya vizuri kwenye timu ya taifa Selecao Brazil, Ricardo Kaka alifanyiwa figisu figisu sanan timu ya taifa baada ya kuonekana Ni mweupe, Mkristo safi na katoka familia ya kitajitri ila kwa kiwango chake miaka ile alikuwa hakwepeki.

Shangaa zaidi Argentina, idadi ya weusi Argentina sasa inahesabika wakati miaka ya zamani wakati weusi wanakimbia Marekani na kwenda South America walienda kila nchi ya South ila sahizi huwezi kuona hata mweusi mmoja kwenye timu ya taifa ya Argentina au chochote kile kinachohusisha Argentina. Kuna madai kwamba weusi waliuawa kinyama Argentina.
Kuna mashabiki wa maradona na messi hapa wanatetea kwamba Argentina hakuna ubaguzi
 
Kuna mashabiki wa maradona na messi hapa wanatetea kwamba Argentina hakuna ubaguzi
Hawajui historia ya Argentina wala ile ya watumwa weusi walipokimbia Marekani na kwenda nchi za Amerika ya kusini. Kwa kuwasaidia waingie google
 
Mkuu mimi nitachagua upinzani mpaka mwisho wa ccm au maisha yangu.lakini ccm siwapi kura hata wamuweke baba yangu
Tehee....tehee...tihii hii ! Ccm kuna mgoni wako !? Mwigu au yule Mwenezi ?
 
Weusi wa Brazil hawajielewi kwa Kuwa walinyimwa elimu,wao wako radhi kuoa/kuolewa na mtu mweupe ila weusi kwa weusi unawesabu kwa mkono,mtu mweusi pekee aliyesoma Ni Joaquin barbosa mgoogle utaijua shughuli yake Ni nini.
Nalog off
 
Back
Top Bottom