Humu humu utasoma usioe mchaga, mhaya, mmachame. Mara oho Wagogo bwana wamezidi uvivu. Ikitokea mtanzania kadhurika mnaanza oho mbona ubarozi haufanyi chochote. Sasa mnalalamika watu weusi Brazil wanabaguliwa. Anza hapa nyumbani. Hakuna mbaguzi wa rangi na kabila kama mwafrika. Mara oho wanyarwanda, oho wakenya, hao waganda sasa unategemea nini ukifika nje???? Sisi ndo waanzilishi wa binadamu na sisi ndo DNA za mwanzo kuwa na kiini cha ubaguzi.