Brazil kuna ubaguzi wa rangi?

Brazil kuna ubaguzi wa rangi?

Hata Tanzania kuna ubaguzi pia. Baraza la mawaziri la Magufuli sioni mchaga hata mmoja. Pia wahindi wengi ndio matajiri wakati weusi wanasukuma mikokoteni na wauza mitumba. Pia wahindi hawakuozeshi mtoto wao golo,ubaguzi upo kila kona ya dunia. Hebu nenda Bangladesh halafu lete mrejesho wako.

haaaa.. we kiboko

1. wahindi wanaficha sukari
2. Wahindi wanaficha mabinti zao
3.?
 
Ubaguzi upo Brazil kama ilivyo kila mahali. Brazil kama USA weusi wameaminishwa na kushinikizwa kufanya Sanaa na michezo tu ila sio siasa na uongozi. Weusi wanatawala michezo sababu wameelekezwa huko na wao wamekubali.

Miaka ya uwani Brazil ilipitishwa sheria ya kuomba weupe wazae na weusi ili kusaidia weusi walioonekana kutojiweza hasa kiakili ndiyo maana Leo unaona chotara wengi Brazil kuliko nchi nyingine yeyote. Pamoja na hilo Bado mtu mweusi Brazil hana thamani. Kuna umasikini wa ajabu kwenye jamii ya weusi Brazil wakati weupe wanaendelea kuneemeka na kula mema ya nchi.

Kwenye soka kuna kasumba kwamba weusi hasa waliotoka familia za masikini ndiyo hufanya vizuri kwenye timu ya taifa Selecao Brazil, Ricardo Kaka alifanyiwa figisu figisu sanan timu ya taifa baada ya kuonekana Ni mweupe, Mkristo safi na katoka familia ya kitajitri ila kwa kiwango chake miaka ile alikuwa hakwepeki.

Shangaa zaidi Argentina, idadi ya weusi Argentina sasa inahesabika wakati miaka ya zamani wakati weusi wanakimbia Marekani na kwenda South America walienda kila nchi ya South ila sahizi huwezi kuona hata mweusi mmoja kwenye timu ya taifa ya Argentina au chochote kile kinachohusisha Argentina. Kuna madai kwamba weusi waliuawa kinyama Argentina.
 
Ubaguzi upo Brazil kama ilivyo kila mahali. Brazil kama USA weusi wameaminishwa na kushinikizwa kufanya Sanaa na michezo tu ila sio siasa na uongozi. Weusi wanatawala michezo sababu wameelekezwa huko na wao wamekubali.

Miaka ya 60 Brazil ilipitishwa sheria ya kuomba weupe wazae na weusi ili kusaidia weusi walioonekana kutojiweza hasa kiakili ndiyo maana Leo unaona chotara wengi Brazil kuliko nchi nyingine yeyote. Pamoja na hilo Bado mtu mweusi Brazil hana thamani. Kuna umasikini wa ajabu kwenye jamii ya weusi Brazil wakati weupe wanaendelea kuneemeka na kula mema ya nchi.

Kwenye soka kuna kasumba kwamba weusi hasa waliotoka familia za masikini ndiyo hufanya vizuri kwenye timu ya taifa Selecao Brazil, Ricardo Kaka alifanyiwa figisu figisu sanan timu ya taifa baada ya kuonekana Ni mweupe, Mkristo safi na katoka familia ya kitajitri ila kwa kiwango chake miaka ile alikuwa hakwepeki.

Shangaa zaidi Argentina, idadi ya weusi Argentina sasa inahesabika wakati miaka ya zamani wakati weusi wanakimbia Marekani na kwenda South America walienda kila nchi ya South ila sahizi huwezi kuona hata mweusi mmoje kwenye timu ya taifa ya Argentina au chochote kile kinachohusisha Argentina. Kuna madaia kwamba weusi waliuawa kinyama Argentina.
Mkuu hiyo ilikuwa Cuba, na ilipitwa sheria kuwa ni marufuku kuowa watu wa Rangi moja
 
Tatizo lingine Brazil ni kwamba tofauti na wamarekani weusi, wabrazil weusi hawana harakati za kupigania haki zao.

Inawezekana hii ni kwa sababu aidha hawajui kwamba hali yao sio ya kawaida au wamekubali yaishe. Yaani Hali yao inasikitisha. Sehemu kama Bahia ina umasikini wa kutupwa!
 
Mkuu hiyo ilikuwa Cuba, na ilipitwa sheria kuwa ni marufuku kuowa watu wa Rangi moja
Soma hapa.
1463261629352.jpg
 
Tatizo lingine Brazil ni kwamba tofauti na wamarekani weusi, wabrazil weusi hawana harakati za kupigania haki zao.

Inawezekana hii ni kwa sababu aidha hawajui kwamba hali yao sio ya kawaida au wamekubali yaishe. Yaani Hali yao inasikitisha. Sehemu kama Bahia ina umasikini wa kutupwa!
Upiganie haki badala ya kwenda kula bata kwenye fukwe za 'kopa kabana'? Utakua umerogwa?
 
Hata Tanzania kuna ubaguzi pia. Baraza la mawaziri la Magufuli sioni mchaga hata mmoja. Pia wahindi wengi ndio matajiri wakati weusi wanasukuma mikokoteni na wauza mitumba. Pia wahindi hawakuozeshi mtoto wao golo,ubaguzi upo kila kona ya dunia. Hebu nenda Bangladesh halafu lete mrejesho wako.

Kula like mia na huu ndiyo ukweli mchungu
 
Trianglura trade; haihusiki kweli hapo wana Historia tuwekeni sawa, kama weusi walikuwa wanachukuliwa kwenda kulima toka huku kwetu Africa sasa wenyeji walikuwa weupe au ikoje?

Jana na juzi nimekuwa nikifatilia Habari za Rais aliyesimamishwa kazi dilma Rudolf, Hakika lile baraza la Senate sijaona mtu mweusi hata mmoja

Kitu kingine ni huyu interm present, Rais wa Muda ametangaza baraza Lake jipya la mawaziri ila bahat mbaya hakuna negro hata mmoja,
Mimi bnafs nilisikitika kiukweli, maana mimi nimeifahamu Brazil kupitia soka /football na timu Yao ya Taifa asilimia zaid ya 55 wanakuaga negros
Sasa kinachokufanya wasijumuishwe kwenye uongozi wa kisiasa nini au watu weus wa Brazil hawapo interested na politics?
Hii imekaaje wakuu
 
Back
Top Bottom