Hivi kuna wapinzani au Watanzania? Huu ndio huo ubaguzi huwezi kumuweka mtu mwengine awe kiongozi sababu mpinzani.
40% ya wabrazil ni weusi
Mkuu mimi nitachagua upinzani mpaka mwisho wa ccm au maisha yangu.lakini ccm siwapi kura hata wamuweke baba yanguHaya jifanye hujui huwezi kua Waziri Kama uko chama tofauti na chama tawala
Nyie mmechagua wabunge wote upinzani kasoro magembe ndo kapata uwaziri sasa mnalaumu nini
Next tym chagueni Tena upinzani Ila msilalamike
Mkuu mimi nitachagua upinzani mpaka mwisho wa ccm au maisha yangu.lakini ccm siwapi kura hata wamuweke baba yangu
40% ni mchanganyiko na 8% ni pure blacksHapana mkuu si kweli...70% brazil ni weupe na 30%percent mchanganyiko hafifu kama akina gaucho na wengine weusi
Km kila kabila wakitoa waziri basis tungekuwa na mawaziri ma manaib zaid ya 250,so usifananishe ubaguzi wa Brazil na uliopo TZ
52% walobakia?40% ni mchanganyiko na 8% ni pure blacks
wazungu52% walobakia?
Umenena....PELE mwenyewe hawapendi watu weusi unategemea nini!
Duu!!Mkuu mimi nitachagua upinzani mpaka mwisho wa ccm au maisha yangu.lakini ccm siwapi kura hata wamuweke baba yangu
wacha hzo wewe,yaani watu weusi wapende michezo na muziki tu wasipende mengine!..niliona documentary aljazeera,mama hamtak mwanae amuoe mpenz wake mweusi,hadi mjukuu hakumtaka,pale argentina waliua watu weusi wote,ni ubaguzi tu wa kimfumo 'mfumo weupe'Brazil ubaguzi wa rangi ni mkubwa mno kuliko amerika.Tatizo wa Brazil weusi wamekuwa brainwashed sana kiasi kwamba wanafikiri hawawezi zaidi ya michezo na muziki.
Kazi kweli.
wacha hzo wewe,yaani watu weusi wapende michezo na muziki tu wasipende mengine!..niliona documentary aljazeera,mama hamtak mwanae amuoe mpenz wake mweusi,hadi mjukuu hakumtaka,pale argentina waliua watu weusi wote,ni ubaguzi tu wa kimfumo 'mfumo weupe'
Duuuuuuu sijawahi sikia hii mkuuUmenena....PELE mwenyewe hawapendi watu weusi unategemea nini!
Hili swali huwa najiuliza, inakuwaje Argentina haina black wakati ni nchi jiran sana na Brazil!!!!wacha hzo wewe,yaani watu weusi wapende michezo na muziki tu wasipende mengine!..niliona documentary aljazeera,mama hamtak mwanae amuoe mpenz wake mweusi,hadi mjukuu hakumtaka,pale argentina waliua watu weusi wote,ni ubaguzi tu wa kimfumo 'mfumo weupe'
Kama kweli basi watu weusi tunasafar ndefuNikweli mkuu huyo mzee anajiita na yeye mzungu ndiomaana wazungu wanampenda
Kwa hiyo hutambui wapinzani wakati wana kambi rasmi bungeni? Au unamaanisha nao wapewe wizara?Hivi kuna wapinzani au Watanzania? Huu ndio huo ubaguzi huwezi kumuweka mtu mwengine awe kiongozi sababu mpinzani.
Brazil ina ubaguzi mkubwa sana
weusi wenyewe wanabaguana
mfano kuna wanao jiita mulato
na wao wanabagua weusi...