Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,647
Jana na juzi nimekuwa nikifatilia Habari za Rais aliyesimamishwa kazi Dilma ROUSSEF, Hakika lile baraza la Senate sijaona mtu mweusi hata mmoja
Kitu kingine ni huyu interm present, Rais wa Muda ametangaza baraza Lake jipya la mawaziri ila bahat mbaya hakuna negro hata mmoja.
Mimi binafsi nilisikitika kiukweli, maana mimi nimeifahamu Brazil kupitia soka /football na timu Yao ya Taifa asilimia zaid ya 55 wanakuaga negros
Sasa kinachokufanya wasijumuishwe kwenye uongozi wa kisiasa nini au watu weus wa Brazil hawapo interested na politics?
Hii imekaaje wakuu