mensaah
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 927
- 1,311
Pia nampongeza jamaa kwa kubana matumiz hakuna sababu ya kupanga hata kama ana kazi nzuri kama nyumban nafasi ipo. Yaan apange kwa ajili yako tu? Kwan kodi utamlipia na utakuwa unampikia? ,wacha kijana wa watu abane matumizi ili afanye maendeleo sio apange ili muendekeze ngono