- Thread starter
- #41
No mmoja from ze beginningHuyo dume ndio yule mbabe? Au yule bakhiri? Maana kila ukija na story ya boyfriend mpya!
No mmoja from ze beginningHuyo dume ndio yule mbabe? Au yule bakhiri? Maana kila ukija na story ya boyfriend mpya!
Ila home kwao amna cha bonus coz Mdogo wake since namjua nishamkuta na madem kama wa5 tofauti...wanaishi kizungu zaidiKumbe kupelekwa home ni bonus eeh
umenichekeshambanie papuchino yako.. au mwambie muwe mnakaa hoteli zenye hadhi ... we binti ni dhambi kuzini ila we umepewa bonus unapelekwa kwa wazazi unalalamika wengine wanakutanguliza gesti halafu yeye anakuja badae na wakati wa kuondoka anakutanguliza yeye anatoka badae... mshukuru Mungu
we nae umeniua mbavu hahahhahaaaaChonga kibao ukiandike "Stop Men At Work" uwe unakiweka mlango wakuingilia sebleni ili mama mkwe asikatize.
Jibu ulilompa ni sahihiKama kujenga ni rahisi basi wewe mchukue mpeleke kwako,
Hawa wana leta stor za vijiwen huko ***** kabisa[emoji276] [emoji276] [emoji276]si ulisema umeolewa na mumeo anawivu hataki kukuruhusu uende kwenye party? saiv ubakuja kusema una boyfriend anaekaa kwao
Word... kama kupanga au kujenga ni rahisi ampeleke yeye kwake.
Kama kujenga ni rahisi basi wewe mchukue mpeleke kwako,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuswampa unakazi ndo huyo huyo Bahili na tegemezi Bado anakaa kwao moto unao kweli
Nawewe unaboa sana umeandika kama fungu la nyanya vile...Habari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh