Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

Vituko haviishi duniani....

[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDena[/HASHTAG]
 
Kama anampenda huyu mwanaume awe strong, aache feelings za mapenzi aanze kujifikira yeye mwenyewe baada ya miaka miwili atakuwa wapi. Akikupigia simu unaongea nae, akikualika kwao unatoa nje, lakini hakikisha kuwa ukiwa unatoa nje uko kwenu wala huna mwanaume mwingine. Yeye ataanza kujiuliza kinachokusumbua ni nini, sasa kama anakupenda mambo yataanzia hapo ni kusuka au kunyoa.
 
Nimegundua kuwa mijadala mingi ya humu ni ya kutunga au kusikia!
Tubadiliksni mana mtu huyo huyo leo anasema hivi kesho anajisahau anasema vile in the same topic.
 
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..

hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?

Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
We hujapanga tu unasubiri nn?
 
Nimegundua kuwa mijadala mingi ya humu ni ya kutunga au kusikia!
Tubadiliksni mana mtu huyo huyo leo anasema hivi kesho anajisahau anasema vile in the same topic.
wacha watunge tu kuliko jukwaa likidorola tutakimbiana humu
 
We mwenyewe unaboa,kwa nini unakuwa na boyfriend ambaye anakaa kwao.huyo bila shaka hata kitanda hana au anatumia alipewa na baba ake.
 
Kama anampenda huyu mwanaume awe strong, aache feelings za mapenzi aanze kujifikira yeye mwenyewe baada ya miaka miwili atakuwa wapi. Akikupigia simu unaongea nae, akikualika kwao unatoa nje, lakini hakikisha kuwa ukiwa unatoa nje uko kwenu wala huna mwanaume mwingine. Yeye ataanza kujiuliza kinachokusumbua ni nini, sasa kama anakupenda mambo yataanzia hapo ni kusuka au kunyoa.
Una point sana my dia, nimekupenda bure
 
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..

hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?

Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Hata girlfriend anayekaa kwao anaboa pia.Mbona hela mkipewa hamuulizi kapewa na baba au mama 'ake? Inabidi ungemuuliza wakati anakutongoza kama anakaa kwao au wapi,huo ni uzembe.
 
Ww si umesema ana kazi toka 2012?,ss anakuomba vp
Ni mbahili, eti ana fixed deposit yake hatoi ela so anachonakiwa nacho ni kidogo na always hakimtoshi anaishia kuniomba...sijui kabila linachangia, manake so Kwa ubahili huu had I anaishiwa
 
Back
Top Bottom