Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,299
- 111,452
Hata mimi nimeona uzi umekaa kama tangazo vile....[emoji23] [emoji23]News alert
Hata mimi nimeona uzi umekaa kama tangazo vile....[emoji23] [emoji23]News alert
Hawa ndio aina ya member wanao tuharibia ladha ya jukwaa letu aiseeee....[emoji16] [emoji16]Wewe mwenyewe unaboa!Unaandika kama unasimulia watoto!
si ulisema umeolewa na mumeo anawivu hataki kukuruhusu uende kwenye party? saiv ubakuja kusema una boyfriend anaekaa kwao
Duuuh! Hapo sasa ni bora utimie akili yako kujua nn kinaendelea n how real is he to you!Nikimuuliza harusi yetu lini anajibu bado sana
Mungu wanguuu!Na vipi kuhusu girlfriend anae kaa kwao?
Ebu anza kwanza kujibu hili kabla hatuja endelea na mengine ambayo umeonyesha utovu wa nidhamu kwa kwenda kwao na muvulana wako. Eti unakaa sebleni na mama wa mvulana wako anapita....[emoji16] [emoji16] [emoji16].
Kwanza wewe na huyo mvulana wako ni wapuuzi na hamna adabu kabisa kwa kuwaonyesha wazazi kwamba mna lalana kabla ya ndoa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahaha duhWewe mwenyewe unaboa!Unaandika kama unasimulia watoto!
Ameni introduce kama rafiki na so mpenziNa vipi kuhusu girlfriend anae kaa kwao?
Ebu anza kwanza kujibu hili kabla hatuja endelea na mengine ambayo umeonyesha utovu wa nidhamu kwa kwenda kwao na muvulana wako. Eti unakaa sebleni na mama wa mvulana wako anapita....[emoji16] [emoji16] [emoji16].
Kwanza wewe na huyo mvulana wako ni wapuuzi na hamna adabu kabisa kwa kuwaonyesha wazazi kwamba mna lalana kabla ya ndoa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Staki watotonjoo kwangu mimi nnageto zur tuu tena nna 24 yrz tuu, karbu sana ukianza kutoka niambie
Kweli kabisa mkuuDuuuh! Hapo sasa ni bora utimie akili yako kujua nn kinaendelea n how real is he to you!
kama miaka 24 mtoto kaa na hilo jamaa lako linalofugwa hapo kwao mtabadlisha gest had mkomeStaki watoto
Sasa wewe unataka uhuru wa nini?Ameni introduce kama rafiki na so mpenzi
Kama kawa mkuu... si unajua fursa adimu hizi Siwezi kuacha ipite...Naona umetumia fursa...[emoji39] [emoji39]
Am black beautyKajiangalie kwenye kioo unakasoro wewe..
Monica ndie naniNna mashaka na huyu dada Wakuswampa ni Monicca