Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..

hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?

Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Mpeleke kwako basi
 
Huyo kazoea kudeka, miaka 28 ni umri mkubwa sana mtu kuendelea kukaa kwa wazazi na inakera sana. Ukichelewa kurudi maswali mengi maana wazazi wana wasiwasi, ukileta marafiki napo ni tatizo.
Mbona freedom ya kuishi kwako ukiwa peke yako ni jambo zuri sana. Imagine uko peke yako, unajipangia ratiba mwenyewe, unaingiza wageni unavyotaka na kujifanyia shopping ya vifaa unavyojua ni vyako ni mambo unayoinjoi sana. Sasa mtu anakomaa kuishi na wazazi, kwa raha gani?
 
Ni mbahili, eti ana fixed deposit yake hatoi ela so anachonakiwa nacho ni kidogo na always hakimtoshi anaishia kuniomba...sijui kabila linachangia, manake so Kwa ubahili huu had I anaishiwa
Duh!,pole yako embu nifate PM tuongee kiutu uzima Achana na huyo mtt WA mama
 
mbanie papuchino yako.. au mwambie muwe mnakaa hoteli zenye hadhi ... we binti ni dhambi kuzini ila we umepewa bonus unapelekwa kwa wazazi unalalamika wengine wanakutanguliza gesti halafu yeye anakuja badae na wakati wa kuondoka anakutanguliza yeye anatoka badae... mshukuru Mungu

Good! We want well experienced women like you.
 
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..

hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?

Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Njoo airtel. Hama mtandao pendwa...
 
si ulisema umeolewa na mumeo anawivu hataki kukuruhusu uende kwenye party? saiv ubakuja kusema una boyfriend anaekaa kwao
Watoto wamekuwa wengi hadi inakela. Wanakuwa na stori za darasani. Inakela mods piga Bann huyo mtu.
 
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..

hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?

Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
hata hivyo huo ni u changudoa,
Biblia hairuhusu, Msahafu hauruhusu, Mila na desturi haziruhusu, kwa uchangu wenu mmeshaingiza msemo wa kizungu et boyfriend, kwa lugha yenu unamwitaje?

acha dhambi usipoacha, utabiri kama ule wa nanihii unakuhusu.
 
si ulisema umeolewa na mumeo anawivu hataki kukuruhusu uende kwenye party? saiv ubakuja kusema una boyfriend anaekaa kwao
Ndoa za JF hizi kwani hujazijua? Humu kila MTU ana gari ana nyumba yenye geti na maisha ya juu ya sofa
 
Acha ulalamishi umeyataka mwenyewe Kutembea na mvulana so acha kelele
 
Back
Top Bottom