- Thread starter
- #101
Ndie naniNna mashaka na huyu dada Wakuswampa ni Monicca
Ndie naniNna mashaka na huyu dada Wakuswampa ni Monicca
Nyumbani ni nyumbani my friend...mna uhuru kuliko guest na kwani mkitembeleana si kuna activities zingine pia mf kupika,kufua,kuangalia movies, michezo,kusaidiana kazi zingine nkHivi kukaa kwako na house girl labda au rafiki alafu mpenzi wako anakuja hapo kugegedana au kwenda kugegedana gesti ipi mapenzi yanakuwa huru na matamu,maana najua kwako hata kama upo peke yako mtaogopa kujiachia sababu ya wanaowazunguka ila gesti hata ukitaka kutoa mguu dirishani huwezi kujali sababu papo maalum kwa hayo mamboo
Kiduuumu hichooo mwe!!!si ulisema umeolewa na mumeo anawivu hataki kukuruhusu uende kwenye party? saiv ubakuja kusema una boyfriend anaekaa kwao
you nailed it bro.Kama kujenga ni rahisi basi wewe mchukue mpeleke kwako,
Kwel wew ni zero sijakuuliza rangi ya ngozi..Am black beauty
Panga chumba wewe, atakuwa anakuja tu kwako. Na pia atakuwa akikusaidia tu kulipa kodi, ila mwanzoni jilipie mwenyewe.Habari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Heshima ikurejee mkuu....[emoji5] [emoji5]Kama kawa mkuu... si unajua fursa adimu hizi Siwezi kuacha ipite...
Namkaribisha nina miaka 31 sijui na mimi ni mtoto. Uzuri mimi sikai gheto nakaa kwenye nyumba unamaliza huduma zote ndani kwa ndani.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji173]Nyumbani ni nyumbani my friend...mna uhuru kuliko guest na kwani mkitembeleana si kuna activities zingine pia mf kupika,kufua,kuangalia movies, michezo,kusaidiana kazi zingine nk
Kachoka kupumbuliwa guest...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji173]
Nawewe huyo mvulana wako kama anakuboa mpotezee vilevile!UsitusumbueIkikuboa ipotezee
Word
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wakuswampa unakazi ndo huyo huyo Bahili na tegemezi Bado anakaa kwao moto unao kweli
Ndio maana sipendi kuingia gesti. Labda niwe msafiriMkuu futa kauli yako yan wanaoingia guest house ni machangudoa, nikisema kwa kukubali kwako kupelekwa guest na wewe ni changudoa ntakua nimekuonea ??? [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Niko Kwa wazaziKwel wew ni zero sijakuuliza rangi ya ngozi..
Tabia yako..
Alafu na wew umepanga au uko kwa wazazi
Ela zenyew anaiomba sembuse kumilipia kodiPanga chumba wewe, atakuwa anakuja tu kwako. Na pia atakuwa akikusaidia tu kulipa kodi, ila mwanzoni jilipie mwenyewe.
Kwel wew ni zero sijakuuliza rangi ya ngozi..
Tabia yako..
Alafu na wew umepanga au uko kwa wazazi
Onyesha mfano atakufata tu..Niko Kwa wazazi
Anachanganya mafaili anadhan tumesahau nyuzi zake za nyumasi ulisema umeolewa na mumeo anawivu hataki kukuruhusu uende kwenye party? saiv ubakuja kusema una boyfriend anaekaa kwao
Si umesema ana kazi nzur inakuwaje akuombe ww pesa tena?Ela zenyew anaiomba sembuse kumilipia kodi