KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
kASIM wa MtUmiziKaka wa mimi lala kwanza damu ya Yesu iishe kichwani, tutaongea tena kesho.
kASIM wa MtUmiziKaka wa mimi lala kwanza damu ya Yesu iishe kichwani, tutaongea tena kesho.
nOeliiiii ya kZAliwa bwaNNNNNNNNNA Au= ilE ya kuPTEZEANAAAAHeri ya Noeli kaka wa mimi.
Halafu wewe sister kauli zako zimesimamaKwanza mwanaume akikupenda yeye ndiyo ataumiza kichwa jinsi mtakavyo spend time pamoja, mwanamke hata upende vipi kama mwanaume hayuko tayari unajisumbua.
Watu kama hana ndio maana bibi faizafoxy huwa anawaambia shule walienda kujifunza ujingaYaan kwao kakupeleka,mgegedo unapata lodge, elimu anayo, kazi anayo pia ila bado tu unakuja kulalama hapa
Hivi nyie wanawake nani kawaroga?
Hivi hujui wenzio wanagegedewa tu maghetoni kitaa na hata kwa wazazi hawajulikani
Shikamoo kaka [HASHTAG]#STUNTER[/HASHTAG] mdogo wako nakusalimiaKama kujenga ni rahisi basi wewe mchukue mpeleke kwako,
Ok nimeamka sasa au vipi? njoopm nikupe maraha .,najua una ukame au vipi? njoo nikukuNE WEwweHeri ya Noeli kaka wa mimi.
sHKAMUU NdO InKUwejde jEACOB zzzzzuMAShikamoo kaka [HASHTAG]#STUNTER[/HASHTAG] mdogo wako nakusalimia
Wewe dada una MAHAWALA wangapi?Habari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Mbahili sanaSi umesema ana kazi nzur inakuwaje akuombe ww pesa tena?
Marahabaa Mdogo wangu, Ahsante kwa kunikumbukaShikamoo kaka [HASHTAG]#STUNTER[/HASHTAG] mdogo wako nakusalimia
Yaaan hawa wanawake wenzenu wawili ni shida sana lkn anyway wanatuchangamshia genge sio mbayaWakuswampa agaaaaiin
Unakuja kwa kasi kama amanda cute
Ninyi wanawake kwenu lipi nafuu maana ukipata mbahili unalalamiak ukipata mtumiaji mzr pia utalalamika hana malengo anatumia pesa hovyo, cha msingi naona ubahili ni kitu kizur hususan kwa wakati huu wa Maguf ila tunauita KUBANA MATUMIZ YASIYO YA LAZIMA ili kusave fedha kwa ajili ya maendeleoMbahili sana
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..
hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?
Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
😳 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀It sounds like he is not that much in to you, he is not ready for any commitment, kama angekuwa ana future na wewe angekushirikisha ujenzi. Kuna mmoja mwanaume alimwambia haoi mpaka apate Masters, yule dada kuona namba haisomeki amejisogeza pembeni, miezi sita baadae anasikia harusi.
Wewe unakaa wapi?Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..
hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?
Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Haha anataka aanze kuacha khanga, then pichu, bra kisha ahamie mazimaBoyfriend sio mume wako mkuu elewa!