Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

Big up to him.

Sioni tatizo na kukaa kwao atakuwa anajiepusha na mengi.
 
Uandishi unaleta ukakasi haujazingatia punctuation, sehemu ya kuweka alama ya kiulizo unaweka koma, mbona mnatupa tabu hivyo kusoma


Ushauri
Mbona ana mipango mizuri, wewe ndiyo utakaye muharibi plans zake, halafu una mawazo mgando sana, yani akikupeleka guest house basi unaonekana ni malaya but still you act like the one, if you were my madame sahivi ungeshakuwa dumped maana huna focus na maisha na huangali mbali unawaza as if una upofu
Umenikumbusha mwalimu wangu wa Dictation!
 
Sasa umeshindwa kumwambia unakuja kujisemesha jf. Arafu ungekuwa direct tu kuwa boyfriend ako bado ne dependant wa wazazi wake so hana pesa
 
Tena ingekuwa mm ndo huyo boyfriend ngekuwa nakupeleka kwenye majani usiku na nakugalagaza ukouko ubaki kuwashwa tu na majan na manyasi sababu we ndo unaelala chin
 
Kwanza mwanaume akikupenda yeye ndiyo ataumiza kichwa jinsi mtakavyo spend time pamoja, mwanamke hata upende vipi kama mwanaume hayuko tayari unajisumbua.

Hata mwanaume upende vipi kama mwanamke hayupo tayari unajisumbua Sky Eclat
 
Unaelewa lkn boyz wakishakula kipachu pachu mazingatio O susa jamaa ajenge mjengo wake aje kukaa Fatima ubaki na masela wako wa gheto
 
Hata mwanaume upende vipi kama mwanamke hayupo tayari unajisumbua Sky Eclat
I know that one mkuu but for a woman to convince is more difficult. Bibilia Mwanzo 3:16 Kisha akamwambia mwanamke "Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa kwa uchungu utazaa watoto; utakuwa na hamu na mumeo, hata hivyo, nay atakutawala". Mkuu mwanamke kumtawala mwanaume ni ngumu ni kama maji kupanda mlima.
 
kwanini ulipie rent wakati kuna sehemu ya kukaa bure? Hebu tunadilike matatizo yakukute sio uyatafute
 
naomba kujua jinsia yako
au ndip wale wa ID tofauti na jinsia yake
 
I know that one mkuu but for a woman to convince is more difficult. Bibilia Mwanzo 3:16 Kisha akamwambia mwanamke "Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa kwa uchungu utazaa watoto; utakuwa na hamu na mumeo, hata hivyo, nay atakutawala". Mkuu mwanamke kumtawala mwanaume ni ngumu ni kama maji kupanda mlima.

Hahahaha mkuu kwaiyo unashaur tuoe wanawake wasiotupenda, lyk watatupenda huko mbele kwa mbele Sky Eclat
 
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..

hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?

Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh

Kwanini usipange wewe?
 
Back
Top Bottom