Boxing Day: Zawadi ya Kushangaza

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,954
30,300
1703563213992.png
 
Hongera sana. Soon utapewa barabara "Mzee Said Road" au "Mohamed Said Avenue"
 
Hahaha unajina la mtaa ila mfukoni patupu hii inakua nuksi sana
92...
Hii kuwa sina kitu mfukoni nimezoea hainipi shida sana.
Swali nauliza sijapata huu mtaa wa Mohamed Said ni Mohamed Said yupi?

Nadhani si mimi.
 
Hongera sana. Soon utapewa barabara "Mzee Said Road" au "Mohamed Said Avenue"
Mad...
Nashindwa kupokea hongera zako kwani sidhani kama ni Mohamed Said mimi.
Huyu bila shaka ni Mohamed Said mwingine,

Nasubiri kupata taarifa zaidi.
 
92...
Hii kuwa sina kitu mfukoni nimezoea hainipi shida sana.
Swali nauliza sijapata huu mtaa wa Mohamed Said ni Mohamed Said yupi?

Nadhani si mimi.
Bora tu isiwe wewe maana watakushangaa huna mkwanja jina kubwa la nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom