Natafuta Mwalimu wa boxing Dodoma

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
Hello wakuu,

Nipo dodoma natafuta Mwalimu atakae weza kunifua kwenye Boxing (yaani mapigano yale ya ulingoni kabisa) kama yupo naomba mawasiliano yake.
 
Aikoooo! Ukimpata mkuu unishtue na mimi, ila mimi nataka mwalimu wa vi pepsi tu 🤣 .Siwezi kukunja ngumi Vidole vinakucha zangu pendwa😢 Nipo Ilazo daraja dogo hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom