Boxer za ukweli pamba halisi kutoka uturuki zinazoendana na mazingira ya nchi yetu ya joto kwa elfu 7 tu kwa mahitaji ya jumla ni pm, jipatie yako kwa dsm tunakuletea ulipo mzigo
Mngesema mnapatikana wapi ingekuwa better...
Sema unataka ngapi will deliver to you personally.....
Ukileta ntachagua
Ndogo zipo, tunapatikana kinondoni manyanya , kwa sasa office bado ni ndugu yupo uturuki anatuma.mzigo upo nyumbani tunafanya door to door na kwenye mitandao, kwa wale wa dsm ukihitaji tunakufuata ulipo