Boxer za kiume safi kabisa mpyaaa

Boxer za kiume safi kabisa mpyaaa

4 kwa elfu 20 unitumie kwa basi gharama ya basi nitalipa mimi njoo pm
 
Nipe kazi kama kweli zina ubora nauza 10000 unachukua chako unaniachia zangu, mgonjwa
 
Last edited by a moderator:
mgonjwa hilo jina linasababisha watu wasikuamini, wanaona kama bado hujapona eti!
 
Last edited by a moderator:
Wa mikoani tunakutumia mzigo gharama za utumaji ni juu yako, unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na ndugu, rafiki au mtu wako unayemumini aliye dsm kisha unanipa namba yake pesa unamtumia huyu ndugu, rafiki kisha tunakutana namkabidhi mzigo au naenda nae mpaka ubungo nautuma au kama moyo wako upo na amani unanitumia mimi mwenyewe nautuma mzigo ...
 
Back
Top Bottom