Boxer za kiume safi kabisa mpyaaa

Boxer za kiume safi kabisa mpyaaa

Mchina kaharibu kabisa, yaani mwingine anunue made in Italy ya 25,000
Afu Made in China 7000 kha
 
Mzigo bado upo pure cotton pamba halisi safi kabisa kwa mazingira yetu ya nchi, UJACHELEWA, BEI CHEAP SANA BUKU 7 TU
 

Attachments

  • 1436299784901.jpg
    1436299784901.jpg
    109.1 KB · Views: 371
Kule juu umeulizwa jumla ni bei gani na zinakaa ngapi mbona hujibuuuu??????
Mzigo bado upo pure cotton pamba halisi safi kabisa kwa mazingira yetu ya nchi, UJACHELEWA, BEI CHEAP SANA BUKU 7 TU
 
Nilishajibu mkuu jumla ni buku 6 idadi zinakua 12 ...upo mbushuu
 
Root, mzigo ni kutoka turkey kabisa kuna ndugu yupo kule ndo anautuma mkuu si mchina kabisa ukiuona na kushika utakubali kaka bei ni cheap hivyo sababu kwa sasa hatuna frem, mzigo upo nyumbani naupokea na kuuza kwa njia hii, pia duka kwa duka naonyesha sample wakitaka wanakuja home au nawapelekea tunafanya biashara ..
 
Bei ni 6000 kwa moja zinakua 12,
 
Weka namba ya basi au mpaka tuanze kukuomba???
 
Bei ni 6000 kwa moja zinakua 12,
"bei ni 6000 kwa moja zinakuwa 12" maana yake nini, lazima ununue 12 kwa 72,000/= ????

Yani page nzima una struggle kutaja bei. Bei ya jumla 6,000 ya reja reja 7,000, tofauti buku !! Halafu 6,000 zinakuja pieces 12, yani moja 500! Zimekuwa VIP?Duuu
 
Boxer za ukweli pamba halisi kutoka uturuki zinazoendana na mazingira ya nchi yetu ya joto kwa elfu 7 tu kwa mmahitaji ya jumla ni pm, jipatie yako kwa dsm tunakuletea ulipo mzigo


Aisee naona Armani na Timberland! Kwa 7000/- lazima mmmmhhhh....
 
Ahsanteni sana wadau mliochukua mzigo, na kukubali kwa ubora wake, mzigo bado upo wandugu pure cotton kabisa, bei elfu 7000 tu jipatie yako
 

Attachments

  • 1436431106408.jpg
    1436431106408.jpg
    56.8 KB · Views: 239
Back
Top Bottom