Mnhenwa Ndege
JF-Expert Member
- Dec 5, 2007
- 242
- 19
Iweje Balali afukuzwe kazi huyu mama abaki? ni manti ipi hii? if she knew this happened then why did she say that BoT is clean?
kulaleeeekii! nimegundua sasa kwa nini tanzania ni masikini hivyo hata baada ya miaka 46 ya uhuru
Aaaa wapi unatuzuga tuu wewe hujagundua kitu wala nini. Raisi mwenyewe hajua kwanini Tanzania ni masikini.
Mmmmh hebu tuambie umegundua kwanini Tanzania ni masikini?
Bank kuu iko chini ya MOF lakini ni chombo huru. Nadhani waziri wa fedha hana uwezo wa kumfire Governor.
hivi majuzi mwanae mmoja amenunua nyumba uko mikocheni kwa sh mil 85,,zimetokea wapi hizi???
nurujamii
pata link ya MAANDAMANO YA KUUNGA MKONO FIKRA :"SAHIHI"
http://www.freemedia.co.tz/daima/1/15/habari2.php