BoT Saga Unfolding: Meghji says I was duped by governor Ballali

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,814
2,000
Wananchi hatuna imani na yeye (Meghji) licha ya hao BOT.

Yaani ni kichekesho, yeye ambaye alikuwa na miaka miwili ya kuisafisha
BOT lakini akakaa kimya, sasa anajifanya anatusemea wananchi?
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Wananchi hatuna imani na yeye (Meghji) licha ya hao BOT.

Yaani ni kichekesho, yeye ambaye alikuwa na miaka miwili ya kuisafisha
BOT lakini akakaa kimya, sasa anajifanya anatusemea wananchi?

inout222.gif
 

Mtu Mzima

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
395
250
Ahaaa! Hata yeye kumbe anajua kuwa wananchi hawana imani naye,na lisirikali lao la mafisadi sasa anatoa kauli za kupima joto?
 

Shukurani

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
253
0
Kama ailivyosema mtoto wa mkulima,hapa wataanza kutapatapa hili kusafisha majina. Huyu mama ana matatizo tena ya akili. Bungeni kasisima katuambia BOT ni safi,mara nilianza kuyashughulikia matatizo ya BOT hata kabla Slaa hajayapata. Ukweli ni wazi tu kwamba ufisadi benki kuu umekuwepo kwa muda mrefu,toka 2004-2006,ndio kumekuwa na ufisadi wa hali ya juu.Meghji sit down waiting
 

Dotori

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
545
0
Dawa ni kupata ripoti ya uchunguzi. Otherwise yote tutayokuwa tunaongea ni speculation
 

Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,592
2,000
Wakuu,
Hivi huyu Mangi Pesambili Mramba mbona huwa anasahaulika sana? au anaogopwa?


Wakuu mbona huyu jamaa amekaa kimya? Jamani tuanzisheni kampeni za kumsukuma nje ya ulingo huyu mtu aliyelitia taifa hasara kubwa tangu akiwa waziri wa Fedha
 

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,808
1,250
Wakuu,
Hivi huyu Mangi Pesambili Mramba mbona huwa anasahaulika sana? au anaogopwa?


Wakuu mbona huyu jamaa amekaa kimya? Jamani tuanzisheni kampeni za kumsukuma nje ya ulingo huyu mtu aliyelitia taifa hasara kubwa tangu akiwa waziri wa Fedha

Anajua kula watu
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
209,560
2,000
Sasa JK kwa mara ya pili bado aendelea kumteua Meghji kuwa Mbunge wa kuteuliwa........is he serious on war against corruption or is he a key player in precipitating this nation into the abyss of state sponsored graft?
 

mnyalu2

Member
Nov 17, 2010
6
0
Re: RAIA MWEMA: Vigogo wajipa ardhi kwa fujo nchi nzima
Raia mwema limetuamsha kutoka usingizini,

akina meghi wako wengi wengine wapo hapa manispaa ya iringa wanachakachua ardhi kwenda mbele
Tatizo la kujigawia ardhi ni tatizo la kila pembe ya Tanzania.

IKUMBUKWE,kuwa wizara ya ardhi mara kwa imeongoza kama kinara wa rushwa nchini kwa hiyo mimi sishangai hawa wa arusha kufuata dada na kaka zao wa wizara ya ardhi.

Hata hapa kwetu wezi wa ardhi ya wananchi unakuwa kwa kasi ya kutisha.

Manispaa ya iringa hasa idara ya ardhi na mpango miji wanajiuzia viwanja wanvyotaka.

Walianza na viwanja vya mawelepele pale walijigawia kwa majina bandia hawakutosheka.
Wakaja eneo lagumbilo pale napo wakajigawia na baadaye kuviuza kwa bei ya kurusha.mil 400 zilizopatikana kutokana uuzaji wa viwanja wakazichakachua mara tu baada ya muda mfup,manispaa yetu ikabaki bila kitu.

Taarifa zinadai kuwa wamepima nakujigawia kwa siri viwanja vya karibu na chuo cha mkwawa hata bila ya uongozi wa juu kushirikishwa.

Na miezi ijayo wanaenda kujigawia eneo la mafisi kule milimani.

Kinachosikitisha ni kuwa viwanja vinapimwa na wanajigawia bila ya ridhaa ya wananchi

Kasi ya upimaji na kugawa viwanja haiendani na kasi ya mahitaji ya viwanja.

Wale wanaoomba si wale wanaopewa.wnajimilikisha kwanza wafanyakazi wa idara ya ardhi na baadaye huviuza kwa bei ya kuruka.

Mimi binafsi katika mazingira magumu nimefanya kazi katika maniospaa hii kwa miaka zaidi ya 13 lakini sijawahi kushuhudia ufisadi wa kutisha kaitika idara hii ya ardhi kama huu.

Kwa muda mrefu mimi na wenzangu tumeomba viwanja vya kujengaili tuvilipie kama watumishi lakini kamwe hatujawahi kupewa sanasana tunaliwa mfululizo ada ya viwanja

Lkn sehemu kubwa ya wafanyakazi wa idara hii ambao ni wageni wakiongozwa na bisi wao wamegeuza viwanja vya manispaa ni dili ndani ya miaka 2,wamejilimbikizia magari,viwanja,na majumba,Kwa tgs gani? kweli manispaa inaliwa sisi wanyalukoro tukishuhudia,nakusanya vielelezo vya ufisadi wa mipango miji na ardhi wiki ijayo mambo hadharani
Asante tena raia mwema kwa kutuamsha usingizini.
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,961
2,000
Sasa JK kwa mara ya pili bado aendelea kumteua Meghji kuwa Mbunge wa kuteuliwa........is he serious on war against corruption or is he a key player in precipitating this nation into the abyss of state sponsored graft?

Mtu mchafu abadan hawezi kumtenga mchafu mwenzie.
 

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,313
2,000
Watanzania akili zao ni za nyumbu, ndivyo Jk anavyowaza, kama sivyo asingethubutu kumchukua huyu mama mkwe wake aliyewekwa kwenye droo la wachafu miaka tu miwili iliyopita na kumleta sebuleni(cabinet). Kama alijitetea kuwa alidanganywa wakati ule kuhusu kagoda nini kinachoweza kutuaminisha kuwa leo hawezi danganywa tena?
 

Newvision

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
448
0
Mama wewe ni mnafiki sana siku zote ulikuwa unafanya hivyo kutuibia pesa yetu. Mungu atawahukumu tu kwani mmemwua Ballali ili mfiche madhambi yenu. kama manage ilikuwaje usaini kitu usichokielewa vizuri??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom