BoT Saga Unfolding: Meghji says I was duped by governor Ballali

Iweje Balali afukuzwe kazi huyu mama abaki? ni manti ipi hii? if she knew this happened then why did she say that BoT is clean?
 
kulaleeeekii! nimegundua sasa kwa nini tanzania ni masikini hivyo hata baada ya miaka 46 ya uhuru
 
Bi zakia dont fool TZnians, who duped, ina maana wewe ukiletewa kitu unasaini tu you dont requist your assistant to go through those transactions, haiwezekani mtakuwa lenu ni moja tu
 
kulaleeeekii! nimegundua sasa kwa nini tanzania ni masikini hivyo hata baada ya miaka 46 ya uhuru

Aaaa wapi unatuzuga tuu wewe hujagundua kitu wala nini. Raisi mwenyewe hajua kwanini Tanzania ni masikini.

Mmmmh hebu tuambie umegundua kwanini Tanzania ni masikini?
 
hivi majuzi mwanae mmoja amenunua nyumba uko mikocheni kwa sh mil 85,,zimetokea wapi hizi???
 
Bank kuu iko chini ya MOF lakini ni chombo huru. Nadhani waziri wa fedha hana uwezo wa kumfire Governor.

Hana uwezo wa kum-fire, lakini ana option ya kumshitaki kwa appointing authority ili imshughulikie. Je, alifanya hivyo? Kama alifanya hivyo aseme au aonyeshe communications kati yake na appointing authority ili utamu uongezeke. Pia mahala muafaka ilikuwa ni Bungeni angesema wazi ama angejiuzulu ili kulinda heshima yake, maana huyu Mama siku zote amekuwa ajikitetea kwamba yeye ni CLEAN, if she is clean then alitakiwa kujiuzulu iwapo Rais aligoma kum-fire Ballali!
 
Mawaziri wetu wao ni ruber stamp.

Wananikumbusha enzi zile machifu Mongungo wa Musevero walivyo sign mikataba ya akina Karl Peter (Mkoloni Mjeruma) bila kujua ilikuwa inasema nini.

Anyway nakumbuka wakati raisi JK anatangaza baraza lake la mawaziri alisema uwaziri sio taaluma. Huhitaji kuwa na taaluma kuwa waziri!!!!!!!!! This is crazy na ndio maana tunaona yote haya. Kwani huyu mama si anawashauri jamani?
-- Manaibu waziri 2
--- Katibu mkuu
--- Manaibu katibu wakuu 2
--- Personal Secretaries 2

Kweli kwasababu umeambiwa ni ya usalama wa Taifa basi unasaign?

Go go go! Megji go!
 
hivi majuzi mwanae mmoja amenunua nyumba uko mikocheni kwa sh mil 85,,zimetokea wapi hizi???

Huyu mama sasa yuko kwenye shopping spree ya nyumba hapa mjini. Isije ikawa ni hizo hela za Kagoda na magogo.
 
kumbe these goons knew all along kwamba sisiem wamechote, ila walikuwa wanachezea wadanganyika makidamakida. Taking us on a goose chase!! Since 2006 the woman knew all abou this yet she just sat on it!!
Slaa alopoongea she was among the first to shout " BOT is clean " .. someone tell her to resign ..immediately . Kibao ndio kimemgeukia.
Unbelievable!! .. 40 billion, and you dont even consult your right hand man (PS)before you sign the damn letter. Utafikiri anasign for petty cash ya shs 40,000/=
 
nurujamii

pata link ya MAANDAMANO YA KUUNGA MKONO FIKRA :"SAHIHI"

http://www.freemedia.co.tz/daima/1/15/habari2.php

Link haifunguki bwana Mikaeli.

Mimi ningepewa viatu vya mama Megji nivae kwa sasa hivi ningekaa kimya. Mama ukiendelea kuongea sana utajikuta unaharibu zaidi. Ila kwa sababu jasho la mtu haliliwi na hasa jasho la masikini haliliwi basi Mwaka huu ni mwaka wa shetani na wengi watakuja na ngonjera nakutajana tuu.

Ndugu zangu baba yangu (RIP) ambaye alikuwa na miaka 98 kila mara alikuwa ananiambia mjukuu wangu dhuluma ni mbaya usidhulumu, usichukue kisiicho chako. Mungu ibariki Tanzania.
 
Kama ni kweli jamani BASI UKO HAZINA KUNA SIRI KUBWA SANA SANA,,KUMBE KUNA UWEZEKANO MTU AKAITAJI HELA IKATOLEWA BILA KUELEZWA YA NINI,,,,

2)LINGINE KAMA NI HIVI NI PESA KIASI GANI ZIMESHACHOMOLEWA KWA STYLE HII NA ZIKO WAPI NA WAHUSIKA NINANI NA WATAFANYIWA NINI???AMIN MSIAMINI HII ITAPITA TU KWENYE MASIKIO YETU NA KUISHIA,,KAMA WATANZANIA TUTAKA KIMYA IKIWEZEKANA HATA KWA KULALA BARABARANI,,,

3))MAMA KWA STYLE NA WEWE TUELEZE UMECHOTA NGAPI AIWEZEKANI UKASAINI PESA NYINGI HIVI BILA KULA HATA 5PERC,,
4))KWA USHAURI WANGU NINGEKUSHAURI UWAHI KUJIUZULU,,KUWA MJANJA KAMA "BALALI"THEN WANKUUNDIA TUME RAISI ANASEMA UMETENGULIWA KAMA KIUNO MGUU HAPO JINA LINABAKI,,,,UKIONA SO KIMBILIA KENYA MAMA MWACHIE RAISI ATANGAZE UTENGUZI,,,WAN JF NARUDIA TEN ATUOMBE KILA SIKU HUYU BWANA AWE HAI WASIMFANYE KITU MBAYA,,AJE KUTUPA HALI HALISI,,,,,,,
"MUNGU SI WA PDIDY WALA BALALI"
 
No excuse! umedanganywa pesa watu wamekula, anangoja nini kuachia ngazi wakati taratibu zingine zikifuata.

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni.Yaani ni kweli anayosema huyu mama!Dhamana kubwa ya mustakabali ya maisha ya watanzania amepewa mtu mwenye uwezo mdogo na asio makini?. Kama waziri anashindwa hata kusoma draft letter ya one page na kujiridhisha,mikataba kweli anasoma mtu wa namna hii! tumekwisha.

Wabongo kweli nuksi mtu akiteuliwa hakatai madaraka hata kama hanauwezo na anajua pia hanauwezo.

Na siku zote alikuwapi mpaka leo ndio aseme, wakiambiwa wanabisha na kuzuia watu wasihoji umbumbumbu huu.

Yaani bongo kiongozi hana taarifa watu mtaani wako more informed, wanawatazama wanavyojikanyaga sasa watu wamechoka ujinga.

Kitakachostaajabisha zaidi ni bosi wake kutochukua hatua kutokana na maalezo ya Meghji. Subiri kusikia tume nyingine kuundwa kuchunguza kama kweli alidanganywa au lah!

Uchunguzi BOT unahitaji zaidi ya Audit.
 
Mababu zetu walipigania uhuru wa WAtz ili kila mwanachi awezeshwe kujitegemea kiuchumi. Hakuna uhuru zaidi ya huo!!! Kiongozi yeyote ajue kuwa hilo ndio lengo la UONGOZI WAKE!!! PILI: Kiongozi huyo akome kuwategemea wananchi kwa kuwaibia na kuwapora haki zao ya kujitegemea. Kashfa ya Banki Kuu imesaliti Adhma na lengo La UHURU WA TZ walioanza kuupigania kina Mh Kiinjikitile ..Mh Mkwawa nk..UJUMBE: Wana JF na WATZ wote wapenda HAKI: Kuanzia sasa viongozi ambao hawatii viapo vyao vya kudumisha uhuru wa kweli wa Mtz yaani kuwawezesha wananchi wa Tz kujitegemea kiuchumi Ajue this is not HIS/HER Time!!Has to GO!!! Mama Zak" do you realy think you fit this era???? Maana ni hakika viongozi wengi hawatayaweza haya mapambano ya kurejesha uhuru wa kweli mikononi mwa Wa Tz. wataanza kujitaja mmoja mmoja, bora wafanye haraka na mjanja apack kando mwenyewe.. Harakati zinakwenda kwa presure kubwa, wengi watajitaja tu!!!!aibu hizi za Taifa lazima zifike mahali zimalizike.
 
Wakuu hivi hamjagundua kitu? what is happening about the whole question na juhudi za kupambana na ufisadi is just a JOKE by HIS EXCELLENCE Jakaya Kikwete. Huyu rais wetu bado anajua watanzania wote tumelala so he can do anything to decieve us and we wont question. Thanks to the technology revolutuion! we have proved him wrong. Hivi kweli kwa akili hata za bulicheka unaamini kwamba hizi juhudi ni genuine? Imagine mtu kama Zakia na akili yake yote na degree yake ya historia/uchumi? ya mlimani anasema kwamba alidanganywa na Gavana! Kisa kwa sababu Balali kesha lala mbele kwa hiyo hawezi jibu shutuma! Kama kweli raisi angekuwa na NIA ya kupambana na hawa jamaa si tungeshaona matendo, watu wangesimamishwa kazi pending investigations. Sadly SAMAKI HUOZA KUANZIA KICHWANI na I can tell you our president is very much aware of this game (and is the captain too!) but is trying to save his face! The whole system is corrupt! Yaani inaudhi kuona mtu kama raisi aliyechaguliwa kwa kura nyingi bado anakuwa na uzembe wa kuintertain rushwa za kijinga namna hii zinazotucost dearly sisi watanzania. Kwa nini asianzishe special chamber ya mahakama kudeal na makosa ya corruption? tumuone kwamba yuko serious?

Mpaka lini sisi watanzania tutachukuliwa for granted under this famous banner of UHURU NA AMANI? people are no longer thoughtful of being accountable to the people apart from themselves.

OUR PRESIDENT IS NOT SERIOUS AT ALL! Yaani huyu jamaa hajui kwamba wananchi tuna kiu ya maendeleo, tutaendelea kuishi kwa kutumia historia ya mwalimu mpaka lini?
Mi Iam tired na huu usanii katika kuendesha nchi!

Yaani kiongozi yeyote knows can do whatever he/she wants and get away with it, ndo unakuta some of these baffons wanaamka na ideas eti kila mtanzania anunue nyama supermarket! As if kila mtu ana access na supermarket...yaani hawa jamaa wako so detached na reality za watanzania basi tuu. Mpaka wanayoyaongea unaona kabisa they were never liberated by their education-if they have any!

So disguisting of this JK man! Yaani sijui tulimtoa wapi huyu jamaa! oooohh just forgot that its the product of this demon called democracy...!!!
 
Back
Top Bottom