Boss wangu anitaka kimapenzi......

Boss wangu anitaka kimapenzi......

Umeketi unaposona hii habari? Kama umesimama kaa chini tukufundishe.
Nenda TAKUKURU, waambie hii ishu. Weka mtego mzuuri tu. Kubaliana naye, popote atakapoamua, tega hilo limtu vuzuri, avue nguo zoote, mchezee mpaka hiyo TAAKUKUU ikiingia imkute akitoka jasho kwa kuvumilia.
Utapata malipo yako, utafidiwa, huyo mkaka atarudishwa kazini na boss mwingine yeyote atakuheshimu tuu.
Kama vipi, mpe tuu kwani anachukua??
 
Komaa nae huyu.....hawa ndo aina ya maboss wasiohitajika duniani. Anafanya familia za wenzake zisiende chooni kwa tamaa za viongo vyake vya uzazi. Hebu fuata ushauri wa Tigga hapo juu faaasta tumkomeshe.

Ila mambo yoote yanategemea na wewe mwenyewe. Hii issue ya kukataa au kukubali nadhani kimsingi kabisa Iko kwako japo waweza kupata msaada wa ushauri hapa ambao pia kuufuata ni wewe mwenyewe. Jipime uone na uamue uzito wepesi kisha uamue. Wengi watakushauri hapo ila uamuzi unao wewe mwenyewe.
 
Usisahau kumtoa mshikaji japo hera ya photocopy kila upatapo salary, si hana kaz now!!!
 
Pole kwa huyo kaka jaman,haya ndo madhara ya kufanya kazi ktk makampuni binafsi ingekua serikalin wala ucngeona mtu ana power ya kumfukuza mtu kaz zaid ya majungu.
Ushauri wangu usitoe papuch kwa huyo boss utakua mtumwa wake na ongeza juhud kutafuta kazi nyingne si umesoma una vyeti vyako?utapata tu
Huyo kaka lazima awe anajisikia vibaya sana na ukiendelea kubaki hapo[ukimpa boss Papushi]huyo kaka itamuuma zaidi na kua tayar kufukuzwa hyo kazi kuliko kutoa papuchi..
Pia hiyo kampuni kutakua na uongozi wa juu kabsa jaribuni kuwaelezea mtu hawez kuachshwa kazi bila sababu
 
umeniuzi sana, tena sana
nimekwazika sana

kwanini hujataja jina la kampuni na jina la huyo bosi
ikiwezekana weka picha


au option b fanya hivi
ongea na watu vizuri

ongea na wahuni wamuandilie mtego then wewe umkubalie siku mkiwa hotelini wahuni wanaingia mmoja anajifanya ni mume wako
wanamuingilia kinyume na maumbile huku wakimrekodi halafu unamwambia atoe millioni moja wayamalize

na yule aliyemuingilia kinyume na maumbile ambaye anajifanya kuwa ni mume wako anampiga mkwara kuwa hata ukihamishwa department tu achilia mbali kufukuzwa kazi

video mnaipeleka kwa shigongo

hakugusi kamweeeeeee


 
Wadau huyu talent A ni mbulula tu mnapoteza mda hapa jana si ndo alikuja na thread kwamba m/me wake kashindwa kumtoa bikira na yeye ana miaka 20,acha ujinga wewe.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli bado nashindwa kuelewa namna ambavyo baadhi ya wanawake wanavyowaza i.e huyu mleta uzi.....😕😕
 
be polite to him and never be straight to him. l mean be passive kwa lolote linalohusu love mtengenezee attitude u dnt like this thng ka nimuelewa ataacha. mbunye tu anamnyima mwenzie kula .
 
Gawana huo mshahara wako na huyo kaka, au unataka mwenzio afe na njaa hapa mjn au umpe mtaji.
 
Sijawahi sikia samaki anafunzwa kuogelea. Yaani bosi tu unashindwa mkatalia? Je kama ni rais wa mtaa?
 
Huu ilimwengu wa smart phone bi mdada, mrekedi either audio au hata video alaf unamchafulia kwenye social media, alafu kwisha kazi yake!!
 
Fanya kama alivyoshauri jamaa kuwa mwekee mtego.halaf vp jamaa aliweza kukutoa ile ngozi adimu?
 
There is not enough that I can write about you, but I want to end this page by saying USIACHE UKAWA KIBURUDISHO KWA MTU KWA AJIRI YA TAMAA YAKE..........................................UNAWEZA ANZA SASA.
 
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed

Maandiko yako hayalingani na kujisifu kwako, mtu makini hawezi kuandika kama ulivyoandika.
 
Umeketi unaposona hii habari? Kama umesimama kaa chini tukufundishe.
Nenda TAKUKURU, waambie hii ishu. Weka mtego mzuuri tu. Kubaliana naye, popote atakapoamua, tega hilo limtu vuzuri, avue nguo zoote, mchezee mpaka hiyo TAAKUKUU ikiingia imkute akitoka jasho kwa kuvumilia.
Utapata malipo yako, utafidiwa, huyo mkaka atarudishwa kazini na boss mwingine yeyote atakuheshimu tuu.
Kama vipi, mpe tuu kwani anachukua??

Kwamba mi siko JF au?Kwa taarifa yenu huo ushauri mnaompa nimeupata pia,isitoshe anajishaua tu mbona ameishanipa tu,sio mara moja ,mbili wala tatu?
 
ww Talent A si ndo juzi umepost kuwa una mchumba wako mmeisha gegedana mara kibao lakini hajafanikiwa kukutoa bikira,kwani huyo mchumba wako humtaki tena unamtaka huyo mkaka mliyekuwa mkifanya nae kazi kabla bosi wako hajamtimua?
 
Back
Top Bottom