Boss wangu anitaka kimapenzi......

Boss wangu anitaka kimapenzi......

Kazi mbona ndogo tu hii. Unatumia 'Smart Phone'? Muwekee mtego akiri kwamba alimfukuza kazi yule kijana bila sababu ya maana(kiutendaji) na pia anakutaka kimapenzi. Picha, video au chochote kile. Then njoo humu barazani tutafute wanasheria, atakulipa fidia ndefu sana.

Napenda sana episodes kama hizi!

Hata mie nazipenda hizi episodes.
 
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed

Pole sana! Hata hivyo, ni vizuri ukatujuza, huyo kaka rafiki yako amefukuzwa kazi kwa sababu ni rafiki yako au amefanya makosa mengine hapo ofisini? vyovyote iwavyo, hata Tanzania, ipo sheria ya kazi na mahusiano kazini (Employment and Labour Relation Act, No. 6 of 2004), sheria hii inakataza ubaguzi, unyanyasaji wowote ikiwa ni pamoja na wa kingono. on top of that, inaeleza hatua za kinidhamu ambazo mfanyakazi anapaswa kuchukuliwa b4 aachishwe kazi, it further states, there must be a valid and fair reason for termination, the contrary will amount to unfair termination ambapo mlalamikaji kama atashauriwa vizuri/au atapenda kudai haki yake anaweza kupeleka malalamiko yake dhidi ya kampuni kwa Commision for Mediation and Abitration na ikibidi HIGH COURT, Labour Division na ikithibitika kaonewa atarudishwa kazini, kulipwa fidia au vyote kwa pamoja...,,
Ushauri: UHUSIANO WA KIMAPENZI KAZINI ni swala la kuwa nalo makini, hasa kwa superiors/managers wenu
 
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed

Bosi usimpe! Lakini huyo rafiki yako naye alitakiwa kusoma alama za nyakati humo ofisini. We unajua uko ofisi binafsi halafu unashindwa kuchunga makini yako!?
 
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed
Faida ya ukauzu ndio hiyo nawewe kaa mkao wa kutimuliwa wee unapanda bodaboda unawashika mateja kiuno bali bosi ndo unamvimbia utaenda kula polisi ohooooo
 
Yeye ndio wa kwanza kutongozwa na bosi? au unadhani mabosi wa wengine wameshika makali.
Kuwa mwanamke tu, inatosha kujua jinsi ya kukwepa mishale, kama una akili lakini.

Nachoona hapa huyu kama vile anajipaisha kupendwa na bosi, anadhani ni mzuri kuliko alowakuta.

Tambua kuwa boss kashika mpini its not that much simple. Lakini suala la kumpa mimi silikubali kabisa. Tukiacha masuala ya marital status ya boss mwanamke unapaswa kwanza kumvulia 'moyo' wako mwanaume kabla ya kumvulia nguo. Hata angekuwa single kama moyo haujamkubali je. Ni vema kuanza kutafuta kazi nyingine kuliko kumvulia nguo mtu ambaye hujampenda.
 
pole sana.!! kutana na rafk yako aliyefukuzwa kaz na uwe tayari kumsaidia,,mwambie aende akafngue mashtaka maana kufukuzw kaz kuna hatua zake co boss akiamua tu anaweza kufanya na uwe tayari kuwa shahd ikbd iwe hivyo.,
 
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed

Ushauri wa bure: Kama kweli unamuonea huruma huyo kaka aliyefukuzwa kazi bila kosa, basi mpe penzi huyo bosi wako anayekutaka, kwa sharti moja tu...Amrudishe kazini kaka wa watu ambaye hana makosa.

Halafu akishamshamrudisha, huyo kaka nae mpe tunda ale ili kupoza machungu aliyoyapitia!
 
Huu ni ushauri au mav.I haya? ?? Smtms tuwe serious jamani, Kwahiyo akipata magojwa kwa bosi ndo ampelekee akamwambukize na mshkaji sio? Hiyo itakuwa kilio mara mbili aisee! !h
Dada kama una ujasiri wa kutosha naww acha kazi fanya mishe zingine coz boss atazidi kukusumbua hapo?!
 
ndo maana staki mazoea na wadada wa zuri zuri kazinii.....
 
Fanya kazi yako kwa usahihi na bidii, huyo bossi mchunie hadi ajidharau kila akikusemesha ongelea mambo ya kazi tu usirumruhusu kuongelea mapenzi.
 
Kazi mbona ndogo tu hii. Unatumia 'Smart Phone'? Muwekee mtego akiri kwamba alimfukuza kazi yule kijana bila sababu ya maana(kiutendaji) na pia anakutaka kimapenzi. Picha, video au chochote kile. Then njoo humu barazani tutafute wanasheria, atakulipa fidia ndefu sana.

Napenda sana episodes kama hizi!

kama wewe ni mwanasheria utakubaliana na mimi ushahidi wa namna hiyo kwa tanzania hauna nguvu mahakamani.........
 
Huu ni ushauri au mav.I haya? ?? Smtms tuwe serious jamani, Kwahiyo akipata magojwa kwa bosi ndo ampelekee akamwambukize na mshkaji sio? Hiyo itakuwa kilio mara mbili aisee! !h
Dada kama una ujasiri wa kutosha naww acha kazi fanya mishe zingine coz boss atazidi kukusumbua hapo?!

Sasa hapo kwenye blue ndio umetoa ushauri wa maana? Yaani aache kazi halafu akafanye ''mishe zingine'' zipi? Unadhani kupata kazi ni kitu rahisi hapa mjini? Kama kazi zingekuwa rahisi kupata, basi hata huyo aliyefukuzwa kazi si angekuwa kashapata kazi nyingine...Au naye angekuwa anafanya ''mishe zingine''?

You don't have the moral authority to call others opinions ''mav.i''.......! Angalau kwa leo nakustahi, but next time, don't say I didn't warn you!
 
Tatizo hawa dada zetu ni vigumu kuwaamini,hapa anashauriwa lakini unaweza shangaag baadae anampa boss kimya kimya alafu anasema nilipitiwa

ndugu yangu rweye umenena vizuri...kauli yao kubwa husema "sikuwa na la kufanya,mazingira yalichangia"
 
Angalia mahusiano yako kwanza yapoje kabla ya kazi!! usikubali kuwa mtumwa wa mapenz coz of work but kama unahisi unampenda na yeye anakupenda huna haja ya kuweka poz
 
mpe Mbunye, then ummuombe Amrudishe huyo kaka Kazini.
 
pole bestito kwa mkasa huu uliokupata kwani
tukio lako lafanana na la kwangu vilevile
sijui mijanaume ikoje jamani ina tabia mbaya tuu
shosti achana nae huyo atakuharibia maisha yako bure

Back
Top Bottom