Kazi mbona ndogo tu hii. Unatumia 'Smart Phone'? Muwekee mtego akiri kwamba alimfukuza kazi yule kijana bila sababu ya maana(kiutendaji) na pia anakutaka kimapenzi. Picha, video au chochote kile. Then njoo humu barazani tutafute wanasheria, atakulipa fidia ndefu sana.
Napenda sana episodes kama hizi!
Ushauri wa bure: Kama kweli
unamuonea huruma huyo kaka aliyefukuzwa kazi bila kosa, basi mpe penzi
huyo bosi wako anayekutaka, kwa sharti moja tu...Amrudishe kazini kaka
wa watu ambaye hana makosa.
Halafu akishamshamrudisha, huyo kaka nae mpe tunda ale ili kupoza
machungu aliyoyapitia!
Amekuwa ugawaji?
Ndo wewe unamsumbua nini?
Take it from me,miaka 30 jera inakusubiri.
maana hiyo kitu inaangukia kwenye makosa ya ubakaji.
kwa mujibu wa sheria za nchi.