Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Boss wangu ananiumiza hisia zangu

mahusiano ya kimapenzi eneo la kazi ni mtego mbaya sana kwa ustawi wa afya ya akili ya wahusika.

pole sana kwa kiherehere chako cha kujihusisha kimapenzi na staff mwenzako, utapigwa matukio mpaka akili ikukae sawa na huna lolote utaweza kumfanya, afterall he is your boss.

na akiona una dalili za kutaka kuchafua image yake kwa wivu wako wa kijinga, atakutengenezea mazingira upigwe chini.

Yani nimekoma sirudii tena
 
Ukiona mwanaume kakukataa basi jichunguze mkuu.

Hatukatai maana unajua kabisa hii ni mbususu ya kujipigia (kipoozeo). Main chick akizingua kutoa mzigo basi unakuja kuchekecha huku lazima atoe hata akiwa siku za hatari ili tu kukuridhisha.

Watu kama mleta uzi huwa wanatoa sana mimba.
Basi kama ni hivyo anatakiwa tu akubali kuwa hapendwi, aanze upya
 
Tatizo girls mkipenda hamuambiliki hamshauriki. Kama hapo huyu manzi sign zote za kua hapendwi zinaonekana ila bado kakomaa still anaomba ushauri aishi nae vipi, ni ajabu sana.

Mtu anaekupenda na hataki kukupoteza si rahisi kurudia makosa anayojua yanakukwaza na anaweza kuyaepuka means si lazima kuyafanya.

Sawa nimekubali hanipendi
Kinachoniuma ninkumuona kila siku and Anavo interact na staff wengine wakike. Mimi napata hard time na siwezi kukasirika yule ni my boss
Ndo maana nimeona bora niache kazi
 
Ni kweli,, shida yenu na nyie wanaume hamjui kukataa..asingeliwa wala asingeumia mdada wa watu

That’s the point he is still entertaining me
Saa zingine ananikiss ananitouch mazingira ya hapo hapo ofisini ila later on Ana act yupo serious kama sio yeye.
 
Nimeanza kukumbuka kuna siku alisema siweI kumpenda milele inaweza kutokea siku nikamchukia mazima
Sasa sijui ndo inarelatena ulichosema hapa
HAKUPENDI.
Na hiyo kwenda kumwambia eti akifanya abc unaumia ndo umeharibu kabisa bora ungekaa kimya tu asijue kua unaumia.
Wanawake wengi huwa mnapitoa hii hali ila mkiambiwa hiyo ni toxic relationship hamuelewi kisa mmependa.
Jamaa kuna kipindi atakua cool mno na utampenda zaidi halafu atakugonga kichizi akikuchoka ataanza drama tena, na hayo ndo yatakua maisha yenu mpaka utapojitambua.
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani. Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha polisi jamani, hapa nshaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Aisee, kwa hiyo sex ndio imefanya uchanganyikiwe juu ya boss wako?
 
Sawa nimekubali hanipendi
Kinachoniuma ninkumuona kila siku and Anavo interact na staff wengine wakike. Mimi napata hard time na siwezi kukasirika yule ni my boss
Ndo maana nimeona bora niache kazi
Nilikwambia lakini kua utapoteza hiyo kazi.

We mpotezee, achana nae wala usimpe attention. Ipite kama jamaa alikukula kimasikhara basi iishie ivo nae ataelewa kiutu uzima.
 
Ukiona mwanaume kakukataa basi jichunguze mkuu.

Hatukatai maana unajua kabisa hii ni mbususu ya kujipigia (kipoozeo). Main chick akizingua kutoa mzigo basi unakuja kuchekecha huku lazima atoe hata akiwa siku za hatari ili tu kukuridhisha.

Watu kama mleta uzi huwa wanatoa sana mimba.

Yeye anasema yupo kwenye serious relationship ila cha kushangaza anani entertain meaning kissing, touching and having sex Ila ukiwa nae kazini sometimes anakua serious sometimes anakua loving and caring na ananionesha hapo ofisini ila staff wa kike wakimuangalia ananibadilikia
 
HAKUPENDI.
Na hiyo kwenda kumwambia eti akifanya abc unaumia ndo umeharibu kabisa bora ungekaa kimya tu asijue kua unaumia.
Wanawake wengi huwa mnapitoa hii hali ila mkiambiwa hiyo ni toxic relationship hamuelewi kisa mmependa.
Jamaa kuna kipindi atakua cool mno na utampenda zaidi halafu atakugonga kichizi akikuchoka ataanza drama tena, na hayo ndo yatakua maisha yenu mpaka utapojitambua.

kisa langu ni kuwa vulnerable
 
That’s the point he is still entertaining me
Saa zingine ananikiss ananitouch mazingira ya hapo hapo ofisini ila later on Ana act yupo serious kama sio yeye.
Aisee pole bestie.....lakini anza kumove on taratibu taratibu utazoea, achana nae kabisa
 
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani. Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.

Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.

Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha polisi jamani, hapa nshaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Kwa hiyo ukaamua kumchanulia?
Ishi hivyohivyo tu!
 
Yeye anasema yupo kwenye serious relationship ila cha kushangaza anani entertain meaning kissing, touching and having sex Ila ukiwa nae kazini sometimes anakua serious sometimes anakua loving and caring na ananionesha hapo ofisini ila staff wa kike wakimuangalia ananibadilikia
Kama yuko na mtu achana nae. Mbona mnajitesa namna hiyo.

Na huenda hana mtu wala nini ila kakwambia ivo coz anajua unampenda na huwezi chomoa kwake.
Hiyo kua na mtu kaiweka kama ngao ya kukuacha muda wowote akitaka/akikuchoka au akiona unaleta mazingzong hapo kazini.

Hayo ni mapenzi ya kipuuzi, how comes unakua na mahusiano serious na mtu ambae yeye ana mahusiano serious na mtu mwingine!!

Usipoteze muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom