Kaka Steve, wasiwasi wangu ni kesi itakavyoenda kama wakubwa wamemwekea dhamana haraka hivyo unategemea nini? Je watuhumiwa wengine wanaachiwaga kirahisi hivyo?Ahsante kwa taarifa Tina!
Kama amekutwa na madawa ya kulevya, pakutokea ni pafinyu! Well, as long as kauli mbiyu ya Mh. JK dhidi ya madawa itatekelezwa.
Huyu ni yule Mnigeria?
Kwnn apelekwe Kilwa road police post wakati anakaa Oysterbay?
Alafu unaongelea unyanyasaji bila kueleza kwa undani ni wa namna gani.
Watanzania ni wavivu na akitokea mtu akawabana kidogo basi tunapiga kelele za kunyanyaswa.

<br />
<br />
Huyu ni yule COO (Imo Etuk) sio MD mwenyewe.jana walikuwa wanahaha usiku kucha kumtafuta General Mboma awasaidie tunchoshuruku jeshi letu la police ni kuwa waliita Media ikafanya coverage ya kila step ambayo tunategemea habari zitatoka leo. Ila hii ni hatua kubwa sana kwa JF na UBA staff kwa ujumla.