Boss Amtaka Wa ubani wangu

wewe si babu wa loliondo una mashaka gani wakati una kikombe cha uzima???????????????????????? au kikombe hicho ni ch akitapeli tu?

Wandugu, poleni kwa mihangaiko, katika kile nisichokitarajia, my immidiate boss amekuwa akimtaka wangu wa karibu.

Ijumaa imebidi wangu wa ubani inipe mkanda wote, ila kuanzia jana na leo, boss hawezi hata kuongea nami, anaazira kabisa, nipeni ushauri?.

by

Babu

acha kazi.

Kama vipi mwambie hata wewe unamtamani sana mke wake/mpenzi wake mbadilishane akupe wife wake na wewe umpe demu wako uone kama hajatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango

Kitakacho kuweka huru ni msimamo wa huyo mpenzi wako vinginevyo utajipa presha buree! Kutongozwa ni jambo la kawaida, kwani huko nje anatongozwa na wangapi? Au kwa sababu katongozwa na boss? Mwambie ajiheshimu na akumbuke kuwa ana mpenzi ambae ni wewe!

Wandugu, poleni kwa mihangaiko, katika kile nisichokitarajia, my immidiate boss amekuwa akimtaka wangu wa karibu.Ijumaa imebidi wangu wa ubani inipe mkanda wote, ila kuanzia jana na leo, boss hawezi hata kuongea nami, anaazira kabisa, nipeni ushauri?.by Babu
.................kimsingi ni kwamba hata nawe pia umetongozwa kama umemsikiliza................,kilichobaki ni kufanya maamuzi yawe magumu au marahisi uamuzi ni wenu............

Huyo wa ubani wako mnafanya wote kazi au ni imekuwaje mpaka kukawa na ukaribu wa yeye kutongozwa na bosi?

Huyo wa ubani mnafiki anavyo megwa na anao wapenda anakwambia? We puuzia tu

babu usiogope,ukiona,.muhusika kakuletea taarifa ujue ajamegwa,...kwa hiyo huyo bosi sio mbaya wako....chunguza utampata mbaya wako hiyo aliyofanya huyo wa ubani wako ni kutengeneza protective mechanism umuone amegwi kisela...
Don.

Similar Discussions

Back
Top Bottom