Boss Amtaka Wa ubani wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boss Amtaka Wa ubani wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by babuwaloliondo, Aug 2, 2011.

1. babuwaloliondo

babuwaloliondo JF-Expert Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 378
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Wandugu, poleni kwa mihangaiko, katika kile nisichokitarajia, my immidiate boss amekuwa akimtaka wangu wa karibu.
Ijumaa imebidi wangu wa ubani inipe mkanda wote, ila kuanzia jana na leo, boss hawezi hata kuongea nami, anaazira kabisa, nipeni ushauri?.
by
Babu

2. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#2
Aug 2, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,238
Likes Received: 3,672
Trophy Points: 280
Sijaona msingi wa swali lako,tatizo ni mpenzi wako kutongozwa au nini?

3. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#3
Aug 2, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280
mkate kidevu,....ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!......babuwaloliondo_ameona dili yako ya kikombe imechina ndio anaanza kukuletea za kuleta,....mpe za chembe huyo.....kwani uboss mpaka kwa mwandani wako,....oooooooooh no

4. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280

heri mimi sijasema maake babu ninaishi nae karibu angeona how come...........

5. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
mle boss wako kiboga asilete za kuleta!!

6. Mkirua

Mkirua JF-Expert Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Sep 9, 2010
Messages: 5,667
Likes Received: 24
Trophy Points: 135
Mpe kikombe huyo..... Bosi hadi kitandani kwangu? No....

7. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280
boss kitu gani bana,...........fight for your love

8. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#8
Aug 2, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,999
Likes Received: 735
Trophy Points: 280
Ya kawaida makazini,mpe ushauri nasaha.

9. IGWE

IGWE JF-Expert Member

#9
Aug 2, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,752
Likes Received: 1,326
Trophy Points: 280
kawaida ya kutaka wake za watu!,...hakuna kitu kama hicho bana

10. babuwaloliondo

babuwaloliondo JF-Expert Member

#10
Aug 2, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 378
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Ndio hilo, ila zaidi ni kuwa imenichukua muda kuamini, maana bosi ni mshikaji, lakini napata shida hata kufanya kazi nae.
Ndio naomba ushauri wenu?

11. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#11
Aug 2, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,238
Likes Received: 3,672
Trophy Points: 280

Kama mpenzi wako katongozwa how is that become your problem?Huwezi kuzuia kumegwa achilia mbali kutongozwa!Acha mawazo kwenye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako,hautakuwa na uwezo wa kumzuia au kumpangia namna ya kutumia mwili wake,na hilo sio suala lako,ukienda kinyume achana nae!Hilo ndo unaweza kulifanya!

12. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#12
Aug 2, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Demu wako naye mnafanya naye kazi sehemu moja? Mwambie bosi hali halisi akizengua mpe bakora halafu utafute kazi sehemu nyingine! Bosi kitu gani asikuharibie ndoa.

13. E

Edwin Chapa Member

#13
Aug 2, 2011
Joined: Jun 3, 2011
Messages: 54
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

14. E

Edwin Chapa Member

#14
Aug 2, 2011
Joined: Jun 3, 2011
Messages: 54
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Ni kweli uyasemayo kwan hukai naye 24hrs muda mwng upo kazn

15. Ncha

Ncha JF-Expert Member

#15
Aug 2, 2011
Joined: Jul 8, 2008
Messages: 254
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
nawe fanya hivyo kwa ubani wake

16. chapaa

chapaa JF-Expert Member

#16
Aug 2, 2011
Joined: Feb 19, 2008
Messages: 2,355
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee!!!

17. mojoki

mojoki JF-Expert Member

#17
Aug 3, 2011
Joined: Oct 21, 2010
Messages: 1,333
Likes Received: 32
Trophy Points: 145
mwambie dem wako ajitambue muulize si ana bwana? (ambaye ni wewe) basi ajiheshimu coz yeye mwisho wa siku ndiye mwenye uwezo wa kufanya maamuzi

18. Masaki

Masaki JF-Expert Member

#18
Aug 3, 2011
Joined: Mar 7, 2006
Messages: 3,465
Likes Received: 163
Trophy Points: 160
Huyo mpenzi wako naye mnafanya naye kazi hapo hapo? Au bosi wako amemfahamu kupitia kwako kwa kuwa ni mshkaji wako? Ndio maana siku zote mimi huwa nasema the only person you trust about your partner is yourself!

19. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#19
Aug 3, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,103
Likes Received: 22,143
Trophy Points: 280
Kama hujamuoa, jiulize ulimpataje? ukisha jibu, jiulize huyo boss wako kitamshinda nini kumpata?

Wako ni wa ndoa ya halali, ambae si wa ndoa na wenzako wanasema wao.

20. Kichuguu

Kichuguu Platinum Member

#20
Aug 3, 2011
Joined: Oct 11, 2006
Messages: 7,202
Likes Received: 864
Trophy Points: 280

Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...