St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,585
- 4,411
Niliwahi kukuuliza siku za nyuma lakini hukunijibu na leo tena naomba nikuulize,hivi huyu dada ninayemtizama hapa mbele ya macho yangu ni wewe mwenyewe au ni avatar tu umeweka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana jf, niko katika wakati mgumu. bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee pipa ili dereva asiende. mimi naogopa maana ni hatari katika kibarua changu, nifanyeje jamani?
Anti hakuna shida kama umemzimikia ......usione soo ........ila usilazimishe ............hata sie akinakaka huwa tunabakwa si unajuaahaa yaani kuwa nice n friendly kwako umeona kuwa nakutaka sio eeh.sikutaki wala nini na itabidi nisafiri na mtu mwingine maana hujui wema.
of couse amekamilika kila idara. anakata kilaji mno. naogopa kuwa mtumwa maana kila atakachokuwa anataka nikubali!
Kwani bosi wako ni she/he?[/QUOTE]
Tazama heading.
kwani kujiunga nov.2010,rply 0,post 0 ..... inakuhu!
wana jf, niko katika wakati mgumu. bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee pipa ili dereva asiende. mimi naogopa maana ni hatari katika kibarua changu, nifanyeje jamani?
Wrong! FYI ukimfikisha anakotaka, kinyume chake kinakuwa ukweli: Atakuwa anakubali unachotaka wewe. How old are you young boy?
kaka wewe kamua tu, maisha yenyewe mafupi.........................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S angry:lucasmbilinyi@yahoo.com