Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?

Tuma kwanza wakaguzi wa KIMATAIFA kuona kama hana Weapon of Mass Destruction (WMD). President Bush bado yupo unaweza pata ushauri kwanza. Lakini km utaona gharama kubwa tupo hapa hapa Bongo wawakilishi tutakusaidia.
 
Cheki WMD kama alivyosema jamaa hapo juu
Kama hana piga kazi kwani hata ukigoma akiamua atakufukuza tu
Mwisho haya mambo yapo tu so likiharibika wengine watajifunza from you.
Kila la kheri na utujulishe yalokukuta
 
Back
Top Bottom