Wewe ulikuwa mtu wa Tory? Ni baada ya John Major kuacha u waziri mkuu? John ni mtu cool sana lakini.Bwana Boris Rafiki yangu sana wakati nikiwa london nikifanya field kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza bwana John Major. Namkumbuka Boris tulivyokuwa tukipiga naye bia aina ya TOBOG pale Zone 3 London
Ndio Mkuu nilikuwa attached kwenye HQ ya Torries. John Major kanilea kama Mjukuu wake kwa muda mrefu. Huyu Borris akiwa bado kijana mitaa ya London alipendwa sana na mademu na tulikunywa naye sana bia. Ni msela wangu sana hata akiwa mayor wa London. Karibu sana kwa sasa nimehamia Sheffield , Northern England.Wewe ulikuwa mtu wa Tory? Ni baada ya John Major kuacha u waziri mkuu? John ni mtu cool sana lakini.
hahaha " ngoja waje" maana ," nikiwaambiaga hivi " huwa hawanielewi""okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.
tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.
hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka
in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.
kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...
facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...
Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
unaonekana mropokaji" daaah kweli ' niaibu sana hiyoKwa Sheria za wenzetu wanaojitambua, kaingilia Uhuru na Imani ya watu, wanamuwajibisha, unasemaje mkuu!!!? Kwa wenzetu kuomba samahani hadharani wanakuwa wamekurudisha hatua 100 nyuma kisiasa, unawekwa kundi la "Waropokaji"
Zurri " una lakusema hapa ""?Imani gani, ya kipagani?
Quran Takatifu haijasema popote wanawake wavae hijab, niqab wala burka
In fact, Quran Takatifu haijasema lolote kuhusu uvaaji wa muislam wa namna yeyote.
Unaweza kuvaa ki-mini na ukawa hujavunja matakwa ya Quran Takatifu.
Kwa hiyo let us not conflate imani na utamaduni
Utamaduni wa Muingereza haukubaliani na kumfunika mwanamke gubigubi. Kwa wao, burka wanaliona kwa waporaji mabenki.
[emoji15] [emoji15] kumbe hata Uzi hujausoma umekurupuka tu kukoment mkuu...na conservatives wanaomtetea wao hawaijui Uingereza na tamaduni zao?
anatakiwa na nani aombe msamaha?
hahaaKuna wakati Prince Phillip alikwenda China na Queen kwenye official visit. Jioni waliandaliwa diinner na balozi wa Uingereza. Wakiwemo Waingereza wanaoishi China. Prince aliwaambie “ mkikaa sana huku macho yenu yatakuwa madogo “. Kesho yake ilikuwa habari kwenye magazeti.
mawazo" mujarab" ...kwa hii essay " nimewaelewa sasa "Umezungumzia point moja muhimu sana. Unapohamia nchi ngeni basi ni juu yako wewe mhamiaji kuje-adapt na mila na desturi za nchi uliyohamia. Hawa watu wanapiga kelele tu kwa sababu wamekutana na wazungu ambao ni wastaarabu na wanapenda kila mtu awe huru. Hebu tujiulize: Mwanamke wa Western Europe anaweza kutembea mitaa ya Saudia Arabia huku amevaa kimini na wakamwacha bila bughudha kwa ajili ya kuheshimu tamaduni ya nchi nyingine? Kama siyo basi ni kwa nini upande mmoja unang'ang'aniza mavazi yao yaheshimiwe lakini hawako tayari kuheshimu mavazi ya wenzao.
aiseeeeTatizo la wenzetu wakienda mahali wanataka utamaduni/utaratibu wao ufuatwe na wenyeji badala ya wao kuendana na mahali walipopokelewa. Kitu kama hiki kimetokea Canada ambapo walitaka nguruwe asiliwe kwenye mashule walipowapeleka watoto wao. Waziri mkuu wa Canada akasema inabidi wao wa adapt mila na tamaduni za Canada, siyo canada iache utamaduni wake. Akaenda mbali zaidi na kusema nchi za kiarabu zipo nyingi, mmeziacha mkachagua canada , you have to adapt!
Naunga mkono hojaUmezungumzia point moja muhimu sana. Unapohamia nchi ngeni basi ni juu yako wewe mhamiaji kuje-adapt na mila na desturi za nchi uliyohamia. Hawa watu wanapiga kelele tu kwa sababu wamekutana na wazungu ambao ni wastaarabu na wanapenda kila mtu awe huru. Hebu tujiulize: Mwanamke wa Western Europe anaweza kutembea mitaa ya Saudia Arabia huku amevaa kimini na wakamwacha bila bughudha kwa ajili ya kuheshimu tamaduni ya nchi nyingine? Kama siyo basi ni kwa nini upande mmoja unang'ang'aniza mavazi yao yaheshimiwe lakini hawako tayari kuheshimu mavazi ya wenzao.
Hata ukiwaambia wamaasai wakivaa mashuka wanafanana na miti ni kashfa.okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.
tamaduni za Magharibi ni tofauti na utamaduni wa waarabu, tusilazimishe kuwamezesha kooni matamaduni ya kigeni wenyeji wanapotukaribisha tuishi kwao.
hakuna mahala Quran Takatifu imeongelea kuvaa hijab, niqab wala burka
in fact, hakuna mahala popote kwenye Quran Takatifu pameongelewa uvaaji wa Muislam period.
kwa hiyo ukiona mtu Kariakoo kavaa suruali ya dont-tachi na barakashia na kanzu, huo sio uislam, ni ma-utamaduni ya Uarabuni tumeyabuguia jumla. On the other hand huwezi kwa miaka milioni kukuta muarabu kavaa kitenge cha Mswahili au lubega la Mmasai...
facial expression, eye contact and positive identification of who the hell you are in public space are time-honored values of the western culture...
Hijab, Niqab, Burka zimepigwa marufuku Morocco, Cameroon, Chad, Republic of the Congo, Gabon, Austria, Denmark, France, Belgium, Tajikistan, Latvia, Netherlands pamoja na China
mwee... nchi ina hanki ya kuchagua vile wageni wanavaa. ukienda saudi arabia mbona unalazimishwa kujifunika? so kama wao waingereza hawataki they have every right to decide so. hupendi basi ondoka.
Hata ukiwaambia wamaasai wakivaa mashuka wanafanana na miti ni kashfa.
sijui kwanini umekaza kichwa kwenye hili.
hakuna maelezo sijui imepanda imeshuka ikaandikwa kwa biblia sijui kwa Quran.
Tunatakiwa kuheshimu tamaduni ila tuwe tayari kuzibadili kwa uweledi pale zinapoonekana sio nzuri.
Punguza utoto na kukurupuka khasa kwenye mambo yanayohitaji elimu kuyaendea na wewe huna hiyo elimu.Quran Takatifu haijasema popote wanawake wavae hijab, niqab wala burka
In fact, Quran Takatifu haijasema lolote kuhusu uvaaji wa muislam wa namna yeyote.
Unaweza kuvaa ki-mini na ukawa hujavunja matakwa ya Quran Takatif
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa awajibishweAmesema wakishavaa hijab wana kuwa kama masanduku ya kupostia barua au wezi wa benki
utawekaje banda la nguruwe kandokando ya msikiti!!..unakua unatafuta nini!!?Hehe sasa unasemea huko uswazi ambako hawako serious, nenda kayafanye huko nchi za kiislamu hata hapo zanzibar kaweke banda la nguruwe kando kando ya msikiti halafu utaniletea mrejesho!
utawekaje banda la nguruwe kandokando ya msikiti!!..unakua unatafuta nini!!?
kaka ww ni muislamu au mkristo? kama ni muislam unajitia aibu kwa comment hii,na kama sio muislamu nakushauri usome vizur uislam na qorana,sehem kibao kwnye quran wameweka dressing code kwa ajili ya wanawake,soma surati Noor na Surat ahzabu.okay thanks a bunch, sasa kwamba hiyo ni kashfa kwa wavaa hijab ni mawazo yako wewe! Hakuna mahala rasmi pameandikwa Boris Johnson awakashifu wavaa hijab. Kwa sababu hawakubaliani Waingereza wote kwamba hijab ni njema, wapo wanaomtetea Boris Johnson.