Bora mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi.

Bora mkoloni mweupe kuliko huyu mweusi.

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,901
Reaction score
13,114
kwenye hizi siasa za nchi yetu nimejifunza bora tungetawaliwa na wakoloni weupe kuliko hawa.hawa wakoloni wa sasa hivi hawana utu,ni wauaji,wabakaji,walawiti na mafisadi NK.Wanaiba hadharani na kwakuwa wameteka vyombo vya usalama na kutengeneza vyombo vya sheria wanajiona hawazuiliki.

ubaya ni kwamba wamefanikiwa kujenga tabaka la vijana ambao tunawaita machawa ambao kwa vipande vichache vya fedha wanawasifia na kuwaabudu hawa wakoloni.kwahiyo tunakosa ile nguvu ya pamoja ambayo inahitajika kama ya enzi za mwalimu dhidi ya wakoloni mweupe.

kitu ambacho hawakijui ni kuwa kupitia maovu yao wanajenga uasi ndani ya nchi kwa sababu ni asili ya binadamu kupingana na uovu unaofanywa dhidi yao.kwa hiyo ili kuleta amani ya kweli ndani ya nchi hii ni kuwakomesha hawa watawala waovu kwa kuimarisha vyombo vya haki.
 
Vijana wadogo wamegeuzwa kuwa watumwa wa mazingira magumu kwa sababu ya Shilingi 7,000 tu. Inasikitisha na ni aibu kwa Taifa kuona nguvu, ndoto na utu wa vijana vikidhalilishwa kwa kiasi kidogo cha fedha. Taifa linapaswa kujiuliza limefika wapi mpaka kijana akakosa thamani ya maisha yake mbele ya Shilingi 7,000.
Lakini historia inatufundisha kuwa hakuna hali inayodumu milele. Kila jambo lina mwisho.
 
Ndiyo
 
Back
Top Bottom